FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Wanaomfitini Chama ni Viongozi wa Simba wanao lipwa na Yanga.

Chama kafanya makubwa Sana Simba.
Mvunjieni Mkataba wake aende Yanga.
Hizi ni mbinu za Yanga kumchukua Chama na Saidi alishasema kwenye mahojiano, kumbukumbu zipo.

Leo mnadhihaki Chama na kumthamini Anana kweli ?

Huyo Anana kafanya nini Simba ?
Hizo goli Mbili za ndondokela.

Chama hana nidhamu wakati ni mlokole.
Hanywi pombe havuti Sigara, hatongozi.
 
Hifadhi maneno......
 
Mtani hivyo timu yako ikiwa kule Kimataifa kina Babu Boko na Mzee Ntibazonkiza hawana shida kabisa ila ukija Premier League ndo hawafai? [emoji1787][emoji1787]

Si ndio. [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Mtanii hutaki kuelewa au unafanya makusudii ili niendelee kusema? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimataifa popote tutakapoishia, na mie naishia hapo ku focus na team, hapo had mwakaniii

Usipo elewa hapa, unatafuta jipyaa sasa.
 
Kabeeesaa. [emoji23][emoji23]

Ila nakuelewa sana Mtani. Huwa zinaboaga sana hizi timu sometimes.
Li team langu limezidi sasa, khaaah
Yaan utadhani imepanda daraja league kuu msimu huu.
Inakeraaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakwambia babu bokoo lazima abaki kwenye timu maana ana busara sana πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ hii simba mamaee walahi
 
Tujikumbushe Mambo ya Babu Boko hayo. Hizi ni highlights za game ya jana na namna Boko alivyokuwa anagusa mipira.
Your browser is not able to display this video.
 
Mtanii hutaki kuelewa au unafanya makusudii ili niendelee kusema? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimataifa popote tutakapoishia, na mie naishia hapo ku focus na team, hapo had mwakaniii

Usipo elewa hapa, unatafuta jipyaa sasa.
Relaaaax Mtani. 🀣🀣

Kukweli bado sijaelewa hata. 🀣.πŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…