Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kabeeesaa. 😂😂Lazima ninywe maji mengi, moyo ueleee.
Ila nakuelewa sana Mtani. Huwa zinaboaga sana hizi timu sometimes.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabeeesaa. 😂😂Lazima ninywe maji mengi, moyo ueleee.
Hifadhi maneno......Team inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,
Huwa natazama za kimataifa, popote tutakapoishia bas na mie naacha kufuatilia team had mwakani.
Team yenye malengo makubwa, haiwezi kuwa na babu bokoo, au mzee ntibanzokiza, km c uchuro nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoo Azam anawasubiri kwa hamu, atawakanda had mkandikee tenaaa.
Pumbaaaaavuuuuuuu.
Bado nasema ulinganisho wako si sahihi!!!Wakati nasema hawa KMC wanaweza kuwafunga Wydad kuna watu wametokwa povu…
Allen Kilewella unasemaje?
Masiala (masihara) hayo!!!Wydad iliyojifia, Wydad jamvi la wageni hadi Galaxy kajipigia huko huko Morocco.
Mtanii hutaki kuelewa au unafanya makusudii ili niendelee kusema? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtani hivyo timu yako ikiwa kule Kimataifa kina Babu Boko na Mzee Ntibazonkiza hawana shida kabisa ila ukija Premier League ndo hawafai? [emoji1787][emoji1787]
Si ndio. [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Kufunga kwa penalt? Yaan hilo lizee lilivyo na nuksi, mikosi na gundu, hata silitaki kulionaa. MxxxxiiiiieeeewSaido anafunga au hauoni?
Li team langu limezidi sasa, khaaahKabeeesaa. [emoji23][emoji23]
Ila nakuelewa sana Mtani. Huwa zinaboaga sana hizi timu sometimes.
Kwa kipii? Kuna team palee au kikundi cha yatima kinachocheza chandimu? Maana ndondo ntakua nakosea, Mfyuuuuuh.Hifadhi maneno......
Ili hesabu I balance itabidi 5imba achezee 5G kwa AZAM.Yaani huyu KMC amepigwa 5 -5 na Yanga na Azam, eti sie 2-2, ujinga huu. Tunastahili matokeo haya maana timu imecheza mpira mbovu kabisa
Wanakwambia babu bokoo lazima abaki kwenye timu maana ana busara sana 🤣😂🤣 hii simba mamaee walahiTeam inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,
Huwa natazama za kimataifa, popote tutakapoishia bas na mie naacha kufuatilia team had mwakani.
Team yenye malengo makubwa, haiwezi kuwa na babu bokoo, au mzee ntibanzokiza, km c uchuro nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoo Azam anawasubiri kwa hamu, atawakanda had mkandikee tenaaa.
Pumbaaaaavuuuuuuu.
Ukiondoa magoli aliyofunga mngekua na hali gani?Kufunga kwa penalt? Yaan hilo lizee lilivyo na nuksi, mikosi na gundu, hata silitaki kulionaa. Mxxxxiiiiieeeew
Nilisema Watanzania ndiyo tuko hivyo mara nyingi.
Relaaaax Mtani. 🤣🤣Mtanii hutaki kuelewa au unafanya makusudii ili niendelee kusema? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimataifa popote tutakapoishia, na mie naishia hapo ku focus na team, hapo had mwakaniii
Usipo elewa hapa, unatafuta jipyaa sasa.
😁😁😁Veteran FC VS KMC
Ngoja tuone itakuwaje.
Sasa inakuwaje?Ole wenu leo timu itoe draw bila Chama
Ayubu ni zumbukuku alafu kuna watu wanamshindanisha na Diarrasometimes anakuwa kama mzuka flani hivi!!
😃😃😃Leo ni Derby ya walio pigwa 5