FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Labda Yanga Queens na lini Chama akacheza namba tisa, Yanga Queens kweli hawana mchezaji kama Chama.
 
Mikando fc 😂
 
Labda Yanga Queens na lini Chama akacheza namba tisa, Yanga Queens kweli hawana mchezaji kama Chama.
Hujui mpira... Acha mahaba weka uhalisia... Chama kwa yanga yetu hakosi namba na anaingia mazima kikosini...!
 
Yaani wewe ndo umeongea upuuzi kabisa, sasa namba wanayocheza Musonda na Mzize ndo namba anayocheza Chama?
 
HAKUNA anayempisha, chama anatokea kulia, Azizi anatokea kushoto wakati huo pacome anacheza 10 max 7
Jifunze kukaa kimya mkuu. Unapojibiwa kwa fact jaribu kuelewa na sio kushikilia misimamo uonekane upo sahihi, wanaume hatupo hivyo mkuu.
 
HAKUNA anayempisha, chama anatokea kulia, Azizi anatokea kushoto wakati huo pacome anacheza 10 max 7
Ile kasi ya Yanga, Chama ataiwezs? Sio kusema tu atatokea wapi bali pia tuangalie na aina ya mpira wa Yanga chini ya Gamondi.
 
Punguza Jazba mamii!!!
 
Ile kasi ya Yanga, Chama ataiwezs? Sio kusema tu atatokea wapi bali pia tuangalie na aina ya mpira wa Yanga chini ya Gamondi.
Chama anacheza na HAKUNA kasi Wala nini!. Kwahiyo miaka 4 ya ubingwa wa Simba alikuwa hachezi kwa kasi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…