FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Uwanja wa Azam huwa tuna gundu nao, ila tutashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha gundu Mzee achana na Mambo ya Imani... Bahati nzuri we ni afisa ubashiri mwenzangu nadhani uliona mwenyewe odds ambazo Simba alipewa na Kanji ....

Simba pale Kati bado Sana angalia namna Aweso na Juma Makang'a wanavokichafua utadhani wanacheza na Mbuni FC [emoji1]
 
Yaani ugonjwa wenu wa kuchelewa kukaba mkisha poteza mpira bado hamjapona, kuna nafasi wamezipata KMC mbili ndani ya dk tatu, kama ingekuwa timu yenye quality ya wachezaji wazuri yote yale magoli.
Wameidharau KMC wanaenda kuwapress juu sana hawajui kua kmc wana watu ambao wanaweza ishinda press kama akina awesu, tangalo ndio shida inapoanzia hapo ngoma anaondoka kanoute yuko juu Saidoo ndo hayupo mchezoni kabisa leo ni wa kutoka tu, Onana kakaa tu kule kwenye flang anasubiri mipira tu.
 
Mkiambiwa watu wenye akili katika klabu ya Yanga ni wawili tu mnakasirika...Onana anacheza namba ya chama ?
Hapana achezi namba ya Chama ila anacheza namba ya Mama yako.😀😃😄😁😆😅 una maswali ya kirage rage tu we WeKUNDU wa Msimbazi. Kolo wahead wewe.
 
Yaani Unashangaa la viwanja?

Kwa nini usishangae kwa Yanga kutokuwa na channel yao huko whatsapp ilhali ni team kubwa sana TZ 😁

Simba kiwanja tunacho na channel huko whatsapp tunayo.

Endelea kuwaponda Uto pekee 😂😂
Kwahiyo shamba la bibi ndo uwanja wenu?? Maana michezo ya ligi mkiwa nyumbani mnachezea pale..!
 
Ambaye bado hajaweka,aweke amuue Simba,atanishukuru baadae,Simba anakufa leo.
 
Back
Top Bottom