Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua hujui?Mkiambiwa watu wenye akili katika klabu ya Yanga ni wawili tu mnakasirika...Onana anacheza namba ya chama ?
Hakuna cha gundu Mzee achana na Mambo ya Imani... Bahati nzuri we ni afisa ubashiri mwenzangu nadhani uliona mwenyewe odds ambazo Simba alipewa na Kanji ....
Wameidharau KMC wanaenda kuwapress juu sana hawajui kua kmc wana watu ambao wanaweza ishinda press kama akina awesu, tangalo ndio shida inapoanzia hapo ngoma anaondoka kanoute yuko juu Saidoo ndo hayupo mchezoni kabisa leo ni wa kutoka tu, Onana kakaa tu kule kwenye flang anasubiri mipira tu.Yaani ugonjwa wenu wa kuchelewa kukaba mkisha poteza mpira bado hamjapona, kuna nafasi wamezipata KMC mbili ndani ya dk tatu, kama ingekuwa timu yenye quality ya wachezaji wazuri yote yale magoli.
Derby ya 5GWahanga wa 5 wanachuana
Hapana achezi namba ya Chama ila anacheza namba ya Mama yako.😀😃😄😁😆😅 una maswali ya kirage rage tu we WeKUNDU wa Msimbazi. Kolo wahead wewe.Mkiambiwa watu wenye akili katika klabu ya Yanga ni wawili tu mnakasirika...Onana anacheza namba ya chama ?
Dante ni Dickson Job mtupu [emoji16]Huyu Andrew Vicent beki namba wa KMC ni Ibrahim Bacca mtupu.
Hahahahhahah kwahiyo wamekutana WAHANGA [emoji1787][emoji1787]Derby ya 5G
Amka usingizini Mzee pale Waziri Jr lazima awatie kamba mbili zingine kuna hattrick Leo [emoji23]Itaishia 1 - 4
Katwa tu sina la kukusaidianna katwa kinyeo sio bure
HahahhahahahaKatwa tu sina la kukusaidia
What goes around comes around....Sijui niweke laki simba ashinde na ndio bajeti ya Christmas. Nimewaza sana hadi nimekumbuka Christmas iliopita simba alipoteza kijinga 150k ikapotea
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Kwahiyo shamba la bibi ndo uwanja wenu?? Maana michezo ya ligi mkiwa nyumbani mnachezea pale..!Yaani Unashangaa la viwanja?
Kwa nini usishangae kwa Yanga kutokuwa na channel yao huko whatsapp ilhali ni team kubwa sana TZ 😁
Simba kiwanja tunacho na channel huko whatsapp tunayo.
Endelea kuwaponda Uto pekee 😂😂
Walisema KMC ni kibonde ngoja tuone leoHahahahhahah kwahiyo wamekutana WAHANGA [emoji1787][emoji1787]
Hakika Chama anafanyiwa fitna kwakuwa Kocha hamtaki.Simba waache ujinga, wampe chama hela yake then acheze. The guy has impact in the pitch