Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Team zilizofungwa Tano na yanga zimecheza na kuvimbiana Leo
Hakuna mbabe[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team zilizofungwa Tano na yanga zimecheza na kuvimbiana Leo
Hakuna mbabe[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Kocha wa kombe la loser atawapeleka wapi?Tulisema hatokula Pasaka, ngoja tuone.
Nimewaambia jana kama tumeamua kumrithisha Benchikha migogoro, tufute matumaini yote ya msimu huu, kuanzia ndani hadi kimataifa.
Kipindi cha kwanza tu cha mpira wa leo ulijua Simba haishindi hii mechi, na siyo kwa sababu hatukuwa na uwezo wa kushinda. Kwa sababu ya hii migogoro, Simba itatoka kwenye mbio za ubingwa kabla ya duru la kwanza halijaisha na itaenda kufungwa na ASEC.
Ehee hebu sema tena 😄!.Muda ni mwamuzi mzuri sana
Kabisa Mkuu hayana upendeleo. 😂😂Matokeo fair kabisa
Hata nguvu ya kucc umeikosa leo Mtani. 😂😂😂Hatujapoteza mchezo
Usisahau kunywa maji mengi Mtani. 😂😂😂Team inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,
Huwa natazama za kimataifa, popote tutakapoishia bas na mie naacha kufuatilia team had mwakani.
Team yenye malengo makubwa, haiwezi kuwa na babu bokoo, au mzee ntibanzokiza, km c uchuro nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoo Azam anawasubiri kwa hamu, atawakanda had mkandikee tenaaa.
Pumbaaaaavuuuuuuu.
Mtani hata sikuelewi ujue. 🤣🤣🤣 juzi mmeshinda mbili kule CCL hata hukulalamika mbona.Team inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,
Huwa natazama za kimataifa, popote tutakapoishia bas na mie naacha kufuatilia team had mwakani.
Team yenye malengo makubwa, haiwezi kuwa na babu bokoo, au mzee ntibanzokiza, km c uchuro nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoo Azam anawasubiri kwa hamu, atawakanda had mkandikee tenaaa.
Pumbaaaaavuuuuuuu.
Lazima ninywe maji mengi, moyo ueleee.Usisahau kunywa maji mengi Mtani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera 🦁 uliyevimba mashavu 🤣View attachment 2850565
Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC.
Muda ni Saa 10 Jioni.
Kila la heri mnyama.
Kikosi Cha KMC Kinachoanza
View attachment 2850769
Kikosi cha Simba Kinachoanza
View attachment 2850774
Nguvumoja.
Dakika ya 32'
KMC wanapata goli la Kwanza
Kupitia kwa Waziri.
Game On.
KMC 1 - 0 Simba
HT
Bado Matokeo ni KMC 1 - 0 Simba
Kipindi cha Pili Kimeanza hapa.
Simba wamefanya Sub!
Bocco Out
Baleke Inn
Onana Out
Mzamiru Inn
Dakika 57'
Simba wanapata penalti.
Saidooo anafunga goal la kwanza.
Dakika ya 60'
Simba wanaweka mpira wavuni kupitia kwa Baleke.
Game On.
KMC 1 - 2 Simba
Dakika 88'
Waziri anaipatia KMC goli la 2.
Dakika 90'
Full Time.
KMC 2 - 2 Simba.
Kwani mtani hujaona maelezo, focus yangu kwa team ni kimataifa, huku kwa league mbna nlishakuambiaga tukutane mwakani.Mtani hata sikuelewi ujue. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] juzi mmeshinda mbili kule CCL hata hukulalamika mbona.
Ila nimecheka eti Babu boko . Lol. [emoji23][emoji23] leo hiii. [emoji23][emoji23]
Mtani hivyo timu yako ikiwa kule Kimataifa kina Babu Boko na Mzee Ntibazonkiza hawana shida kabisa ila ukija Premier League ndo hawafai? 🤣🤣Kwani mtani hujaona maelezo, focus yangu kwa team ni kimataifa, huku kwa league mbna nlishakuambiaga tukutane mwakani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saido anafunga au hauoni?Team inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,