FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Team zilizofungwa Tano na yanga zimecheza na kuvimbiana Leo
Hakuna mbabe[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
IMG-20231223-WA0064.jpg
 
Timu unamtegemea kibu kama straika.,..misimu 2.
Kocha amekuta sub ni aina ya jimmyson mwanduke,. MICQUISON,( mzee wa turn around)

Sasa hana options

ROBERTINO kasema wachezaji ni wangapi SIMBA?
 
Eish. Kumbe mmedraw? Kuna kenge alinipa matokeo 2 kwa 1 nikajua mlishinda.

benchika benchika. Itakua ben choka, shenzi kabisa. Acheni tuwaonyeshe sasa Nini maana ya kuwa serious na ubingwa.
 
Nimewaambia jana kama tumeamua kumrithisha Benchikha migogoro, tufute matumaini yote ya msimu huu, kuanzia ndani hadi kimataifa.

Kipindi cha kwanza tu cha mpira wa leo ulijua Simba haishindi hii mechi, na siyo kwa sababu hatukuwa na uwezo wa kushinda. Kwa sababu ya hii migogoro, Simba itatoka kwenye mbio za ubingwa kabla ya duru la kwanza halijaisha na itaenda kufungwa na ASEC.
20231221_103211.jpg
 
Team inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,

Huwa natazama za kimataifa, popote tutakapoishia bas na mie naacha kufuatilia team had mwakani.

Team yenye malengo makubwa, haiwezi kuwa na babu bokoo, au mzee ntibanzokiza, km c uchuro nn?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoo Azam anawasubiri kwa hamu, atawakanda had mkandikee tenaaa.

Pumbaaaaavuuuuuuu.
 
Usisahau kunywa maji mengi Mtani. 😂😂😂
 
Mtani hata sikuelewi ujue. 🤣🤣🤣 juzi mmeshinda mbili kule CCL hata hukulalamika mbona.

Ila nimecheka eti Babu boko . Lol. 😂😂 leo hiii. 😂😂
 
View attachment 2850565
Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC.

Muda ni Saa 10 Jioni.

Kila la heri mnyama.

Kikosi Cha KMC Kinachoanza
View attachment 2850769

Kikosi cha Simba Kinachoanza
View attachment 2850774
Nguvumoja.

Dakika ya 32'
KMC wanapata goli la Kwanza
Kupitia kwa Waziri.

Game On.
KMC 1 - 0 Simba

HT
Bado Matokeo ni KMC 1 - 0 Simba

Kipindi cha Pili Kimeanza hapa.
Simba wamefanya Sub!

Bocco Out
Baleke Inn
Onana Out
Mzamiru Inn

Dakika 57'
Simba wanapata penalti.
Saidooo anafunga goal la kwanza.

Dakika ya 60'
Simba wanaweka mpira wavuni kupitia kwa Baleke.

Game On.
KMC 1 - 2 Simba

Dakika 88'
Waziri anaipatia KMC goli la 2.

Dakika 90'

Full Time.
KMC 2 - 2 Simba.
Hongera 🦁 uliyevimba mashavu 🤣
 
Mtani hata sikuelewi ujue. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] juzi mmeshinda mbili kule CCL hata hukulalamika mbona.

Ila nimecheka eti Babu boko . Lol. [emoji23][emoji23] leo hiii. [emoji23][emoji23]
Kwani mtani hujaona maelezo, focus yangu kwa team ni kimataifa, huku kwa league mbna nlishakuambiaga tukutane mwakani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtani hivyo timu yako ikiwa kule Kimataifa kina Babu Boko na Mzee Ntibazonkiza hawana shida kabisa ila ukija Premier League ndo hawafai? 🤣🤣

Si ndio. 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Team inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,

Huwa natazama za kimataifa, popote tutakapoishia bas na mie naacha kufuatilia team had mwakani.

Team yenye malengo makubwa, haiwezi kuwa na babu bokoo, au mzee ntibanzokiza, km c uchuro nn?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoo Azam anawasubiri kwa hamu, atawakanda had mkandikee tenaaa.

Pumbaaaaavuuuuuuu.
Saido anafunga au hauoni?
 
Back
Top Bottom