Chatta g
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 585
- 955
Aziz key Hana kasi ila jamaa, anapumzi ya kukava eneo kubwa sana la uwanja, anashuka anapanda anakaba ana shoot..Azizi key ana Kasi gani yakumzidi chama?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aziz key Hana kasi ila jamaa, anapumzi ya kukava eneo kubwa sana la uwanja, anashuka anapanda anakaba ana shoot..Azizi key ana Kasi gani yakumzidi chama?.
Kasi sio kukimbia tu ni pamoja na maamuzi ya haraka kitu ambacho Chama hana, kingine ni kwamba Chama anaweza kucheza Yanga kama kocha ata amua kuwaweka nje Aziz K na Pacome hawa watu watatu wote hawawezi kucheza pamoja ndio maana hata huku kwetu Simba baada ya kuja Benchikha amemulazimu Chama akae nje ili Saido Onana na Saido wachezeAzizi key ana Kasi gani yakumzidi chama?.
Upo serious kweli au ni pombe za Christmas?Azizi key ana Kasi gani yakumzidi chama?.
Kwahiyo kwa mawazo yako unafikiri Chama wa miaka minne nyuma ni sawa sawa na Chama huyu wa sasa? Mechi ya kule Morocco uliangalia ile counter attack waliopata Simba ikamfikia Chama yupo peke yake golini kwa Wydad lakini kashindwa mbio mpaka Wydad wamekuja kuziba nafasi. Sasa Chama wa miaka minne nyuma je angeshindwa kuitumia hiyo nafasi?Chama anacheza na HAKUNA kasi Wala nini!. Kwahiyo miaka 4 ya ubingwa wa Simba alikuwa hachezi kwa kasi?.
Anacheza Yanga Queens.Chama anacheza na HAKUNA kasi Wala nini!. Kwahiyo miaka 4 ya ubingwa wa Simba alikuwa hachezi kwa kasi?.
Hamia YangaTeam inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,
Huwa natazama za kimataifa, popote tutakapoishia bas na mie naacha kufuatilia team had mwakani.
Team yenye malengo makubwa, haiwezi kuwa na babu bokoo, au mzee ntibanzokiza, km c uchuro nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoo Azam anawasubiri kwa hamu, atawakanda had mkandikee tenaaa.
Pumbaaaaavuuuuuuu.
Hivi Mkuu baada ya game yao kuwa postponed wanakutana tena lini?Azam alikuwa anaenda kumpiga Simba 5 zingine.