FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Azizi key ana Kasi gani yakumzidi chama?.
Kasi sio kukimbia tu ni pamoja na maamuzi ya haraka kitu ambacho Chama hana, kingine ni kwamba Chama anaweza kucheza Yanga kama kocha ata amua kuwaweka nje Aziz K na Pacome hawa watu watatu wote hawawezi kucheza pamoja ndio maana hata huku kwetu Simba baada ya kuja Benchikha amemulazimu Chama akae nje ili Saido Onana na Saido wacheze
 
Chama anacheza na HAKUNA kasi Wala nini!. Kwahiyo miaka 4 ya ubingwa wa Simba alikuwa hachezi kwa kasi?.
Kwahiyo kwa mawazo yako unafikiri Chama wa miaka minne nyuma ni sawa sawa na Chama huyu wa sasa? Mechi ya kule Morocco uliangalia ile counter attack waliopata Simba ikamfikia Chama yupo peke yake golini kwa Wydad lakini kashindwa mbio mpaka Wydad wamekuja kuziba nafasi. Sasa Chama wa miaka minne nyuma je angeshindwa kuitumia hiyo nafasi?
 
1. Huyo Chama kwanza ni mchezaji asiye na nidhamu na hupenda kucheza zaidi na jukwaa baada ya mashabiki maandazi kumuona staa.

2. Umri umemtupa mkono tayari na hana uwezo wa kucheza mpira wa kasi.

3. Anajiona amejitosheleza na kwamba hamuhitaji tena kocha na akipumzishwa huchukia.
 
Team inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,

Huwa natazama za kimataifa, popote tutakapoishia bas na mie naacha kufuatilia team had mwakani.

Team yenye malengo makubwa, haiwezi kuwa na babu bokoo, au mzee ntibanzokiza, km c uchuro nn?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoo Azam anawasubiri kwa hamu, atawakanda had mkandikee tenaaa.

Pumbaaaaavuuuuuuu.
Hamia Yanga

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom