FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

Hawa Dodoma wana timu nzuri tu ya kucheza mpira, nimeshangaa sana wamekuja kupaki basi dkk 90.

Nilitegemea watatupa game ngumu
Sio kwamba wanapenda bali wanalazimishwa kucheza hivyo mkuu, we unaona Kuna winga Morrison kushoto kulia Luis kati chama na Bwalya juu yao yuko Bocco Sasa hapo wataanzaje kufunguka au unataka wapigwe 5 huna huruma mzee!!
 
Back
Top Bottom