FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

Kwa unyonge mkubwa, nawatakia ushindi Azam fc! Maana natambua fika ni Simba B.
 
Hakuna mbabe leo, ngoma droo.

Mshindi atapatikana kwa Penart.

Atakaeshinda leo anakwenda kuwa Bingwa kule Kigoma.
 
Simba SC kama kawaida huwa wanapitishwa njia ngumu sana kwenye haya mashindano, lazima wakutane na vigingi vya kweli wavisogeze pembeni ili watinge fainali, natumai na leo hilo halitakuwa tatizo, kazi iliyopo ni kuthibitisha tu Simba ndio babalao Tz.
Ni kweli kuna miaka alikutana na kina Mashujaa na Grini Woriaz! Zilikuwa njia ngumu sana! Kila la chama langu Azam Fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidieni LINK ya game hii wakuu.Niko mbali na Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…