Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nilianza usiku wa jana mkuuMkuu we kaa kilingeni kabisa leo hawa watoto wasije kutuadhiri. Maana uto wameshinda nashangaa hawashangilii ila wakisikia tumedundwa ndo wataanza kushangilia ushindi wao wa jana.