FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

Simba na Azam huwa ni burudani sana mana wote wanaweka mpira chini hakuna butu butu hapa
 
Huyu kangwa vipi faulo gani za kijinga hizi aisee
 
Moris anacheza faulo mbaya sana sheziii typ..!
 
Hizi mechi kupelekwa kwenye viwanja vibovu vinaondoa ladha ya soka kabisa.! TFF ni muhimu walitazame hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…