Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko poaHuu uzi mpya wa Simba dah
Lambalamba hazishibishi ila unaweza fakamia hata 5 utulize moyo wako.nimekula lakini sijashibaaa
Bodi ya ligi huwa hawafikirii wakiamua mambo yao, kurupuka tu.Pitch imeharibu kabisa quality ya mchezo
Hii sio pitch, ni malisho ya mifugo
Ohoo, hukumbuki maoni ya wachambuzi wetu mpinzani akitaka kumfunga Simba? ndo ninachokiona uwanjani.Simba na Azam huwa ni burudani sana mana wote wanaweka mpira chini hakuna butu butu hapa
TFF imefanya upumbavu wa kufunga msimuHizi mechi kupelekwa kwenye viwanja vibovu vinaondoa ladha ya soka kabisa.! TFF ni muhimu walitazame hili