Nimeona ni 2-1Tutatoboa tu
Yeah second round ni 2-1Hahaha so dakika ya mwisho simba inakufa?
Ngoja jikuambie sasa kua hii gem simba hapotezi, skilizia kipindi cha pili
Tatizo la kocha ni kuchelewesha sub, unakuta kipindi cha pili mpaka dakika ya 70 ndo anaanza kufanya subTunatudanganywa tuangalie mpira biriani,sasa lile biriani au buriani????
Morrison ndo atakayekuja kuwaokoa Simba kwenye hii mechi...maana Azam wanagonga spana za kiroho mbaya Chama hawezi hii mbilinge,Luis nae mipira haimfikii mara kwa mara anaonekana Hana madhara
Hapana atoke Muzamiru aingie Nyoni Muzamiru anapoteza sana mipira mashambulizi mengi yanakufia kwake, atoke Bwalya aingie MorrisonMawazo yangu, atoke chama na aingie morison
Na iwe kweliNimeona ni 2-1
azam anapigwa 2-0 hilo moja analipatia wapi?Nimeona ni 2-1
Waambie kama uko huko meneja wa uwanja wa Majimaji atengeneze hiyo pitch, msitake vizuri bila kuvigharamia.huko nako kuna watanzania wapenda michezo! na kodi wanalipa
Kabisa mkuuHapana atoke Muzamiru aingie Nyoni Muzamiru anapoteza sana mipira mashambulizi mengi yanakufia kwake, atoke Bwalya aingie Morrison
Babu wa mlingotini kanambia hii ngoma ni ngumu.Yeah second round ni 2-1
Hili liko kwenye variationazam anapigwa 2-0 hilo moja analipatia wapi?
Na nyie pia mje huku kama nao wanavyokuja Dar !Waambie kama uko huko meneja wa uwanja wa Majimaji atengeneze hiyo pitch, msitake vizuri bila kuvigharamia.
Tunatoka jasho huku lakini Inshallah tutatoboa 2Babu wa mlingotini kanambia hii ngoma ni ngumu.
Sawa ila tunachotaka ni viwanja kuendana na hadhi ya mchezo wenyewe sio kupeleka match kwenye mashamba ya mpunga kwamakusudi namna hii.huko nako kuna watanzania wapenda michezo! na kodi wanalipa
Kwa aina hii ya kuleta michezo mikubwa huku mashambani, na nyie pia mkija kuunga mkono timu hizo, mapato yatapatikana na vizuri kwa hadhi za huko zitakuwepo!!Sawa ila tunachotaka ni viwanja kuendana na hadhi ya mchezo wenyewe sio kupeleka match kwenye mashamba ya mpunga kwamakusudi namna hii.
Wasifanye upuuzi nikalaumiwa[emoji881][emoji881][emoji881]Huu mzaha wanaoufanya simba itawa kosti
Inshallah.Tunatoka jasho huku lakini Inshallah tutatoboa 2
Nia yao uonekane mganga fakeWasifanye upuuzi nikalaumiwa[emoji881][emoji881][emoji881]