FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

Tunatudanganywa tuangalie mpira biriani,sasa lile biriani au buriani????

Morrison ndo atakayekuja kuwaokoa Simba kwenye hii mechi...maana Azam wanagonga spana za kiroho mbaya Chama hawezi hii mbilinge,Luis nae mipira haimfikii mara kwa mara anaonekana Hana madhara
Tatizo la kocha ni kuchelewesha sub, unakuta kipindi cha pili mpaka dakika ya 70 ndo anaanza kufanya sub
 
Sawa ila tunachotaka ni viwanja kuendana na hadhi ya mchezo wenyewe sio kupeleka match kwenye mashamba ya mpunga kwamakusudi namna hii.
Kwa aina hii ya kuleta michezo mikubwa huku mashambani, na nyie pia mkija kuunga mkono timu hizo, mapato yatapatikana na vizuri kwa hadhi za huko zitakuwepo!!
 
Back
Top Bottom