FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

Hii game inaweza amuliwa kwa tofauti ya goli moja.
 
Freekick pembeni kidogo na penalt box, ebu tuone nani mpigaji na bahati yake itakuwaje
 
Simba wanakosa utulivu katikati hapo wakifika kwenye penalt box kitendo cha kushoot wao wana mbwera
 
Kwa unyonge mkubwa, nawatakia ushindi Azam fc! Maana natambua fika ni Simba B.
Tungekuwa na uhakika kuwa Azam wataifunga Yanga tungewaachia,lakini hatuwezi kucheza kamari itabidi tuwafunge tu wanetu ili kuhakikisha kuwa Yanga itacheza mashindano ya CAF kwa mbeleko yetu tu. Ni hayo tu mgosi.
 
Chamaaa loooooo njeeeee.. ilikuwa nafasi nzuri kwa Simba SC
 
Chamaaa woooool... Azam FC nusura watepete hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…