FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

Huyu refa huyu!!! Mbona kama amewapa advantage Mbumbumbu fc!!! Alitakiwa awe fair bhana!!! Watu hawajajipanga, yeye anaruhusu wauza ice cream kufungwa kizembe hivi!!

Inauma sana.
Wewe furahi kukutana na Simba, hayo yamepita!!

Chukulieni ni maandalizi ya kwenda CAF
 
This is SIMBA
giphy.gif
 
Nyie endeleeni kujadili mpira na kubishana goli la wazi, huku watu washakubali matokeo now wanaweka kokwa tu kwenye draft
IMG_20210626_173607.jpg
 
Wamebebwa na refa, hata Azam hawajaweka ukuta!!
Unafahamu, ni kwa nini mchezaji wa timu ambayo unapigwa mpira kuelekea kwenye gori lao, huwa anasimama mbele ya mpira kumzuia mpigaji asipige mpira, wakati wenzie wanajipanga?
Unalikumbuka lile gori alilokuwa amelifunga CHAMA, Simba walipokutana na NKANA Dar?
 
Msamehe bure hamna kitu kichwani
 
Huyu refa huyu!!! Mbona kama amewapa advantage Mbumbumbu fc!!! Alitakiwa awe fair bhana!!! Watu hawajajipanga, yeye anaruhusu wauza ice cream kufungwa kizembe hivi!!

Inauma sana.
Ulitaka awasubiri wamalize bunge lao la kumjadili refa? Ile somo zuri sana kwa wachezaji wetu walio na mazoea ya kumzonga refa pindi ameshafanya maamuzi yake, hakuna refa anaweza kubatilisha maamuzi yake kwa vile tu wachezaji wanamzonga. Wangeheshimu maamuzi yake wangejipanga kuweka ukuta na huenda lile goli lisingepatikana. Haya sasa huko Kigoma msije mkakimbia tena,Simba haikimbiwi.
 
Back
Top Bottom