Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Dah..! Nitaumia sana[emoji2815][emoji2815][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Nia yao uonekane mganga fake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah..! Nitaumia sana[emoji2815][emoji2815][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Nia yao uonekane mganga fake
Tungekuwa na uhakika kuwa Azam wataifunga Yanga tungewaachia,lakini hatuwezi kucheza kamari itabidi tuwafunge tu wanetu ili kuhakikisha kuwa Yanga itacheza mashindano ya CAF kwa mbeleko yetu tu. Ni hayo tu mgosi.Kwa unyonge mkubwa, nawatakia ushindi Azam fc! Maana natambua fika ni Simba B.
Tena wazikwe kabisa.Sema Azam Katika kumekufa Kabisa
Ila Refs anawabeba Sana Nyie Nyau Fc [emoji3][emoji3][emoji3]Tena wazikwe kabisa.