Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Wewe furahi kukutana na Simba, hayo yamepita!!Huyu refa huyu!!! Mbona kama amewapa advantage Mbumbumbu fc!!! Alitakiwa awe fair bhana!!! Watu hawajajipanga, yeye anaruhusu wauza ice cream kufungwa kizembe hivi!!
Inauma sana.
Uto... wapi imeandikwa lazima ukuta uwepo?Wamebebwa na refa, hata Azam hawajaweka ukuta!!
Yaani Morrison huyu jamaa utopolo ndo Mana wanalia kila siku huyu ni mtu hatari sana huyu sema tu prof Gomes alichelewa tu kumpa nafasiHili goli limedhaminiwa kwa hisani ya morisoon
Wa ungo tuko gado remix bila featuringFainali kinapigwa Kigoma kwa mzee Juma Njemba wenye usafiri binafsi tujuane na wenye kupanda Adventure au Saratoga tujuane?
Alicheleweshwa kwa kazi maalumuYaani Morrison huyu jamaa utopolo ndo Mana wanalia kila siku huyu ni mtu hatari sana huyu sema tu prof Gomes alichelewa tu kumpa nafasi
Haya Kigoma na Dar kitaeleweka tu!Uto... wapi imeandikwa lazima ukuta uwepo?
Umepambana vyakutosha vipi hawajakujeruhi lkn ?Sio mbaya ngoja nikapymzike sass
Hapana kigoma kwa ungo ukatizi,haki ya Mungu nakwambia,Waha jamaa ni noma sana,labda wakupe kibali[emoji23][emoji23]Wa ungo tuko gado remix bila featuring
Unafahamu, ni kwa nini mchezaji wa timu ambayo unapigwa mpira kuelekea kwenye gori lao, huwa anasimama mbele ya mpira kumzuia mpigaji asipige mpira, wakati wenzie wanajipanga?Wamebebwa na refa, hata Azam hawajaweka ukuta!!
Similar case kama goli la Chama kati ya Simba na Nkana kwenye caf champions league mwaka juzi.Wamebebwa na refa, hata Azam hawajaweka ukuta!!
Imekaa vizuri, maana mjini hampawezi!Utopolo nyie si mabingwa wa kutukimbia, haya sasa tunaenda kuwakeketea hukoooo mwisho wa reli.
Msamehe bure hamna kitu kichwaniUnafahamu, ni kwa nini mchezaji wa timu ambayo unapigwa mpira kuelekea kwenye gori lao, huwa anasimama mbele ya mpira kumzuia mpigaji asipige mpira, wakati wenzie wanajipanga?
Unalikumbuka lile gori alilokuwa amelifunga CHAMA, Simba walipokutana na NKANA Dar?
Ulitaka awasubiri wamalize bunge lao la kumjadili refa? Ile somo zuri sana kwa wachezaji wetu walio na mazoea ya kumzonga refa pindi ameshafanya maamuzi yake, hakuna refa anaweza kubatilisha maamuzi yake kwa vile tu wachezaji wanamzonga. Wangeheshimu maamuzi yake wangejipanga kuweka ukuta na huenda lile goli lisingepatikana. Haya sasa huko Kigoma msije mkakimbia tena,Simba haikimbiwi.Huyu refa huyu!!! Mbona kama amewapa advantage Mbumbumbu fc!!! Alitakiwa awe fair bhana!!! Watu hawajajipanga, yeye anaruhusu wauza ice cream kufungwa kizembe hivi!!
Inauma sana.
Nina wenyeji nitapewa password za njia na uwanja wa kutua usihofuHapana kigoma kwa ungo ukatizi,haki ya Mungu nakwambia,Waha jamaa ni noma sana,labda wakupe kibali[emoji23][emoji23]
Nyie endeleeni kujadili mpira na kubishana goli la wazi, huku watu washakubali matokeo now wanaweka kokwa tu kwenye draftView attachment 1830874