FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Mashabiki wa Tanzania bana!!! Tangu yameingia mavuvuzela uwanjani ni kelele tuu, unakuta dume Zima linapuliza vuvuzela ,angalau watoto sawa.

Kingine hakuna dressing code ya mashabiki na hivyo kufanya uwanja kutokumtisha adui. Kila siku timu zinaanzisha jezi mpya tena rangi mbalimbali hivyo uwanjani kunaliwrpo kachubari ya rangi.

Nimeangalia timu za Afrika kaskazini kama ni nyekundu basi ni uwanja mzima na wanaimba nyimbo kwa mdomo wote na sio kelele zisizo na mpangilio za mavuvuzela kama nyuki
 
Akina Farid Musa,Aziz Kii ni mizigo mingine huko Yanga..

Mbaya zaidi Kocha anapaki basi kana kwamba ni wanatafuta sare wakati wako knockout,ngoja tuone.
 
Hivi Kwa nini Yanga Huwa hawawezi kucheza Mpira wa kujituma na Kwa spirit kama Simba?

Hapo ukiwaona wanacheza kama Ligi yaani,watandikwe tuu ndio watakuwa na akili.
 
Back
Top Bottom