Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka huu msimu uanze mbona umepata furaha kwa 5% tu. Huoni kama unajikosesha amani kwa kujitakia karibu tukupe furaha ya uhakikaHua nafurahi nikiona yanga wanalia, Rivers United nisaidieni.
Acha ujingaToa Aziz weka Musonda toa Muda weka Aucho
Mbona umehitimisha kirahisi tu namna hiyo😁😁Wydad alipigwa 2 hapo Nigeria akaenda Morocco akashinda 6 ni vice versa hapa Tanzania kafungwa wydad 1 anaenda Morocco atashinda 5
Uwanja wa nyumbani una faida, mashabiki, Hali ya hewa, saikolojia ya kwamba upo eneo lako.Hakuna Cha kwao,kwani kuwa kwako Kuna advantage ipi ya maana unapata zaidi ya Mashabiki?
Kwa mfano sare Ina faida ipi Kwa Yanga kwenye mtoano maana game Iko wazi mnabadili pitch tuu.
YanayoMashindano haya hayana VAR?
Mkuu hii ni kwa wote tu i.e both yanga and rivers.....viwango vyao vinaakisi kabisa nature ya kombe laoHawa kina P-Square hamna kitu
We kipusa ulitumwa kuanzisha hii thread?Hzi PWAGU na PWAGUZI za leo zingekuwa CAF Champions zingekula goli kama za HOROYA
Simba na Orlando pirates pia kulikia hamna VARMashindano haya hayana VAR?