computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Mitoano ipi?Simba kwa home ground ni sawa nakubaliana na wewe ila kwa away grounds anakulaga makonzi ya nguvu tena season hii kafuzu sababu ya kumfunga vipers away vingenevyo yangekuwa mengine tuMbona umehitimisha kirahisi tu namna hiyo[emoji16][emoji16]
Hao rivers wanaonekana kabisa hawana game plan ya kufuzu hatui hii,wanaonesha show game.
Alafu kuhusu simba we mwenyewe unaelewa kabisa kwamba mnyama kwenye mechi za mtoano kama hizi anakuwa na kiwango cha tofauti kabisa ambacho huwa kinampa matokeo positive.
Reference games
a.simba vs raja (home and away)
b.simba vs waydad