FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Ni basi tu vijana mnalazimisha ushabiki, ila kwangu mimi Yanga wanacheza vizuri tena kwa descipline na kuwaheshimu Rivers. Wapo sawa hadi sasa.
Kwa hicho kiwango cha Rivers Yanga walitakiwa wawe wanaongoza.
 
Kwa hicho kiwango cha Rivers Yanga walitakiwa wawe wanaongoza.
Mpira ni mchezo wa makosa hata siku ya Derby kwa kiwango cha Yanga Simba ilipaswa kushinda hata goli 4.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hivi Kwa nini Yanga Huwa hawawezi kucheza Mpira wa kujituma na Kwa spirit kama Simba?

Hapo ukiwaona wanacheza kama Ligi yaani,watandikwe tuu ndio watakuwa na akili.
Umeshasema Simba ambaye spirit yake mwituni inajulikana. Sasa Yanga wana alama ya mwenge na mabinti wawili wanacheza netball, spirit itatoka wapi?
 
Dah hii game itabidi kocha Nabi abadili plani either mapema kabisa kipindi cha pili au baadae hawa jamaa wanacheza open game kabisa...
Ushindi upo [emoji172][emoji169]
 
Back
Top Bottom