ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwenye Timu kubwa na mashindano ya mtoano hakuna hiyo,sio Ligi au makundi hapaUwanja wa nyumbani una faida, mashabiki, Hali ya hewa, saikolojia ya kwamba upo eneo lako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Timu kubwa na mashindano ya mtoano hakuna hiyo,sio Ligi au makundi hapaUwanja wa nyumbani una faida, mashabiki, Hali ya hewa, saikolojia ya kwamba upo eneo lako.
Hii rivers ilimpiga 2 wydad ww umeambulia kamoko nan yuko juuTimu za shirikisho mbovu sana, utopolo tuliowanyoa ndio wanaonekana bora🫣🫣
punguza unazi,tuwekee records za yanga toka mwaka 95 kwenye mashindano ya caf tuone ubora wa huyo yanga akiwa awayMitoano ipi?Simba kwa home ground ni sawa nakubaliana na wewe ila kwa away grounds anakulaga makonzi ya nguvu tena season hii kafuzu sababu ya kumfunga vipers away vingenevyo yangekuwa mengine tu
Hamna kitu tunawapiga mbili baada ya halftimeLeo Yanga wanashinda .
Sasa nakwambia kaa mkao wa kula.Mitoano ipi?Simba kwa home ground ni sawa nakubaliana na wewe ila kwa away grounds anakulaga makonzi ya nguvu tena season hii kafuzu sababu ya kumfunga vipers away vingenevyo yangekuwa mengine tu
Akikujibu unitag.Hii rivers ilimpiga 2 wydad ww umeambulia kamoko nan yuko juu
Kipindi kile Yanga ilikua kibonde hii Rivers ni ileile sema Yanga Kwa sasa ni lijitu likubwa SanaKiukweli Rivers United hatuchezi vizuri
Washambuliaji wetu wanakosa nafasi nyingi za wazi, halafu pasi nyingi zinapotea.
Hii Rivers United ni tofauti kabisa na ile niliyokuwa naishangiloa kipindi kile wakati mi mdogo
Ipo. Sema sio guarantee ya ushindi 100% ila advantage ya nyumbani ipo. Mfano Simba kule nyumbani kwa wydad kuna kazi kubwa kuliko iliyomalizika kwa mkapa.Kwenye Timu kubwa na mashindano ya mtoano hakuna hiyo,sio Ligi au makundi hapa
Haya ndiyo matumizi mabaya ya friidom ofu ekspresheniKwa bahati mbaya mashindano haya hayahusishi timu bora
Sema wamekutana na timu yenye nafuu
Aah unaficha uficha nini sema rivers alishinda 2-1 akaja kubugizwa 6, sasa kuna timu hapo.Hii rivers ilimpiga 2 wydad ww umeambulia kamoko nan yuko juu
Kizali zali tu kombe lenyewe ni kwa ajili ya loosers.Sasa hao matutusa wamefuzu vipi hadi hatua hii?
kushinda 1-0 ukiwa nyumbani ni bora kuliko kushinda2-1Hii rivers ilimpiga 2 wydad ww umeambulia kamoko nan yuko juu
Lakini yuko shirikisho na Simba yuko Champions..Simba yuko juu.Hii rivers ilimpiga 2 wydad ww umeambulia kamoko nan yuko juu
..Hii rivers ilimpiga 2 wydad ww umeambulia kamoko nan yuko juu
Kwasababu kuna ongezeko la Mayele (ambaye mpaka saizi hajaonesha kiwango kizuri), Azizi Ki (naye ni mikimbio tu bado hajaonesha pengo la mwaka jana)Kipindi kile Yanga ilikua kibonde hii Rivers ni ileile sema Yanga Kwa sasa ni lijitu likubwa Sana