Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Rivers hawa mpaka sasa Yanga walitakiwa wawe washaweka wavuni angalau goli moja.Kutumia nafasi ni sanaa ndani ya sanaa,na hiyo sanaa huko utopoloni hakunaga
Unaota ndoto eeeeh 😂Hamna kitu tunawapiga mbili baada ya halftime
Sisi tunauheshimu mpira wa miguu hivyo huwa hatuiingii na matokeo.We endelea na misele. Usitarajie matokeo chanya kwa timu yenu ya wakata viuno.
Morrison hata kwenye benchi hayupoKwasababu kuna ongezeko la Mayele (ambaye mpaka saizi hajaonesha kiwango kizuri), Azizi Ki (naye ni mikimbio tu bado hajaonesha pengo la mwaka jana)
Na Mudathiri (so far kajitahidi) na kina Musonda na Morrison ambao wako nje?
Sasa hivi jamaa amekuwa kisiki sana ..Ibra bacca ni beki mzuri sana ....
Ibra bacca ni beki mzuri sana ....
Simba nasi tupunguze poliminaliMuweke dhidi ya Tanzanian Giants Simba Sc ndio utajua kuwa hajui
Mgema akisifiwa, ndivyo unavyoweza kuelezea anachokifanya Mayele.Mayele uchoyo sijui ataacha lini!!