FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Farid anapiga krosi nzuri Mudathir kichwa cha kizembe inakuwa mchekea kwa kipa ,angepiga kikatili ni goli la wazi.
 
Wydad alipigwa 2 hapo Nigeria akaenda Morocco akashinda 6 ni vice versa hapa Tanzania kafungwa wydad 1 anaenda Morocco atashinda 5
Mbona umehitimisha kirahisi tu namna hiyo😁😁

Hao rivers wanaonekana kabisa hawana game plan ya kufuzu hatui hii,wanaonesha show game.

Alafu kuhusu simba we mwenyewe unaelewa kabisa kwamba mnyama kwenye mechi za mtoano kama hizi anakuwa na kiwango cha tofauti kabisa ambacho huwa kinampa matokeo positive.

Reference games

a.simba vs raja (home and away)
b.simba vs waydad
 
Nimependa jinsi kipa wa Rivers United alivyoudaka mpira uliopigwa na Mayele
 
Kila baada ya dakika 10 mpira unasimama.

Watoto wadogo pumzi kindude
 
Hakuna Cha kwao,kwani kuwa kwako Kuna advantage ipi ya maana unapata zaidi ya Mashabiki?

Kwa mfano sare Ina faida ipi Kwa Yanga kwenye mtoano maana game Iko wazi mnabadili pitch tuu.
Uwanja wa nyumbani una faida, mashabiki, Hali ya hewa, saikolojia ya kwamba upo eneo lako.
 
Back
Top Bottom