HahahaAziz ni tikiti
Kama watafungwa, Hii nafasi wataijutia sanaYanga wamekosa nafasi ya wazi
Kweli.Mayele kafanya ujinga sana pale angetoa pasi tu mapema mwenzake kafungua.
Anatoa wapi akili hiyo yule? Anambwelambwela.Mayele kafanya ujinga sana pale angetoa pasi tu mapema mwenzake kafungua.
Anazingua kwenye maamuzi huyu kule alishafika mtuMayele kafanya ujinga sana pale angetoa pasi tu mapema mwenzake kafungua.
Ubinafsi mbaya sanaMayele kafanya ujinga sana pale angetoa pasi tu mapema mwenzake kafungua.