FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Wachezaji wa Yanga wanacheza kibinafsi Sana zaidi ya kitimu kama Simba. Mayele anatafita sifa ya kuwa mfungaji Bora hivyo analazimisha kufunga yeye tuu mwisho mipira inapotea. Penetration passes za ki Azizi zinaishia ku blokiwa na adui, Kila mtu anachezs kwa jazba ili afunge yeye, beki zinakatika. Wakitaka waanze mechi kwa utulivu MAYELE AANZIE BENCHI
 
Sema Yanga wanachakujifunza Kwa Simba Duh so Kwa Moshi wa Jana [emoji23][emoji23] jamani mlikuwepo uwanjani kulikoni tuliokuwa mikoani kwenye mabanda tukajua Benjamin mpaka ndo basi tena imepigwa short ya umeme kumbe hamna bhana
 
Usihofu Nabi ni Profesa wa soka sisi tunashinda uwanja wowote mbona waarabu tuliwatoa kwao. Game ya derby ya Simba ni ya mauzauza na Wala Yanga haikuwauma kupoteza sababu goli si halali Kona pia haikuwa halali alietoa mpira ni mchezaji wa Simba kama kungekuwa na VAR goli lingefutwa mechi ingekuwa vingine na hata huyo Kibu asingefunga halafu we uliona wapi refa kwanza ni Mwanamke kapewa bahasha na wakati kageuka upande mwingine anaelekeza wachezaji wanaogombana huko nyuma mpira umeanzishwa Tena mpira wa Kona bila filimbi ya mwamuzi. Na kwa kawaida tunaona ulaya refa akipanga wachezaji kwenye 18 kabla ya Kona kupigwa mshika kibendera husimama mbele ya mpira Ili Kona isipigwe bila mwamuzi kuwa tayari na kuruhusu ila mechi ya Simba haikuwa hivyo Simba walivizia Yanga hawajajipanga na bila filimbi ya mwamuzi aliekuwa akiangalia kwingine wakaanza mpira na kufunga na kuwatoa mchezoni Yanga ambao kutokana na uchawi mzito wa kukafini maiti hawakuwa wakielewa wako uwanja wa taifa au chamazi! Kwa mara ya kwanza tangu Bangala aje Yanga kwenye derby aliomba kutolewa akisema mpira hauoni!!

Simba Haina msuli wa kuifunga Yanga bila makandokando mechi ya mwisho tulicheza kumi baada ya mukoko kutolewa kwa red, mechi ya juzikati mpira umeanzishwa wakati refa Yuko anapanga wachezaji sio football Ile ni uhuni tu kuhakikisha angalau Simba wanapata kombe moja nalo ni kuifunga Yanga maana kabati lao la makombe limejaa vumbi mwaka wa pili Sasa!!

Kosa la kiufundi la Yanga kwenye derby ni kumuweka nje Mudathir kama ambavyo Mashabiki tulitegemea kivuruge Huyu ataanza wakamuweka benchi na alipoingia uliona nusu uwanja Simba hawakuonana Tena. Pia mechi ya Simba ilifaa Baka na Nondo ndo wacheze double sentahafu.

Nigeria tunashinda Leo Prof Nabi Huwa harudii makosa! Hii ni mechi ya kisasi itakuwa na balaa kubwa la Moloko na Mudathir!
Hata angecheza kocha mngekandwa tuuu
 
Wanaija Kandeni huo mshono na maji ya motooo ufumuke....
Eee mbwai mbwai tuuu
Nyie wakutuombea mabaya kwa waidadi nyieeee basi ngoja na sisi tufanye vivyo japo maombi yenu hayakujibiwa mnasubiria ya Ijumaa..
😄 😄
 
Hata angecheza kocha mngekandwa tuuu
Mna kombe moja tayari msimu huu kuifunga Yanga! Ila ukweli mnaujua bingwa huanzia ugenini anazuia tu kwao Morocco mtakoma mtakandwa week na mna bahati Msuva hayupo angewakanda ndani nje!

Jana Wydad hawakutaka kuanguka kwa utelezi wakiona mpira wa hovyo mnacheza Huku mnanyeshewa mvua kama Bata mzinga na hawakucheza kabisa kutafuta ushindi Simba walihangaika sana kutaka kuonekana ni timu kubwa jamaa wanacheza kwa kurelax na Kwa mpira wa kitabu! Counter attacks tu, Hata goli lilifungwa kwa juhudi binafsi si uwezo wa timu Wydad wakashangaa mmefungaje timu dhaifu Haina kombe lolote miaka miwili Sasa ni kusindikiza Mabingwa wa Kihistoria Dar Young Africans!

Mwende Morocco na kapu la magoli utopolo tuna uhakika mvua hamna kule na mtakakandwa magoli ya Kihistoria maana thamani ya mchezaji mmoja wa Wydad ni sawa ujumlishe Inonga, Mzee Onyango, Bocco, Chama, Baleke, Kanoute , Sakho na Tshabalala!

Mkishakandwa mje kushtaki mi nimekaa pale!!
 
Nimechungulia kwenye darubini ya kuangalia mwezi, leo Yanga anapasuka 2-0
Darubini yako itakuwa ni Ile ya kitoto umenunua Jana ulipotembea sikukuu ya Eid Ile unaweka picha inakuzwa!! Mbumbumbu fc kwenye ubora wako!

Leo ni mechi ya kisasi Utopolo tunashinda goli nyingi na usikimbie tutakuja kwako tukipuliza mavuvuzela baada ya ushindi wa tatu bila! Makolo hamtaamini sisi mechi tuliyowekeza ni Leo sio derby ambazo tumewapiga kama ngoma bila huruma tangu 2019 hamjui kuifunga Yanga kwenye ligi bila makandokando ya kuanzisha mpira bila filimbi ya Refa mara tucheze kumi ndo mshinde msuli hamna wa kuipiga Yanga!
 
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans
Baada ya kupokea kichapo kikali toka kwa mahasimu wao simba Sports Club
leo mida ya saa 10:00 JIONI wananchi wenye nchi yao YOUNG AFRICANS watashuka pale dimba la ESTADIO DE GODSWILL AKPABIO nchini NIGERIA kutafuta alama tatu za ushindi mnono ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia nusu fainal kwa mara ya kwanza katika fainali ya michuano ya shirikisho barani Africa

Ikumbukwe kuwa hawa walishakutana katika michezo miwili huko View attachment 2596897
timu ya Rivers united iliichakaza vibaya sana wananchi kwa kuwafunga nyumbani na ugenini mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote.
Kila la kheri YANGA
Twende kazi
 
Mimi siyo na sijawahi kuwa mnafiki.

So....

Young African wapigwe tu.
20230416_215406.jpg
 
Kwa kweli umevurugwa na ukichanganya na huna akili ni shida tupu kenge maji mkubwa
Usihofu Nabi ni Profesa wa soka sisi tunashinda uwanja wowote mbona waarabu tuliwatoa kwao. Game ya derby ya Simba ni ya mauzauza na Wala Yanga haikuwauma kupoteza sababu goli si halali Kona pia haikuwa halali alietoa mpira ni mchezaji wa Simba kama kungekuwa na VAR goli lingefutwa mechi ingekuwa vingine na hata huyo Kibu asingefunga halafu we uliona wapi refa kwanza ni Mwanamke kapewa bahasha na wakati kageuka upande mwingine anaelekeza wachezaji wanaogombana huko nyuma mpira umeanzishwa Tena mpira wa Kona bila filimbi ya mwamuzi. Na kwa kawaida tunaona ulaya refa akipanga wachezaji kwenye 18 kabla ya Kona kupigwa mshika kibendera husimama mbele ya mpira Ili Kona isipigwe bila mwamuzi kuwa tayari na kuruhusu ila mechi ya Simba haikuwa hivyo Simba walivizia Yanga hawajajipanga na bila filimbi ya mwamuzi aliekuwa akiangalia kwingine wakaanza mpira na kufunga na kuwatoa mchezoni Yanga ambao kutokana na uchawi mzito wa kukafini maiti hawakuwa wakielewa wako uwanja wa taifa au chamazi! Kwa mara ya kwanza tangu Bangala aje Yanga kwenye derby aliomba kutolewa akisema mpira hauoni!!

Simba Haina msuli wa kuifunga Yanga bila makandokando mechi ya mwisho tulicheza kumi baada ya mukoko kutolewa kwa red, mechi ya juzikati mpira umeanzishwa wakati refa Yuko anapanga wachezaji sio football Ile ni uhuni tu kuhakikisha angalau Simba wanapata kombe moja nalo ni kuifunga Yanga maana kabati lao la makombe limejaa vumbi mwaka wa pili Sasa!!

Kosa la kiufundi la Yanga kwenye derby ni kumuweka nje Mudathir kama ambavyo Mashabiki tulitegemea kivuruge Huyu ataanza wakamuweka benchi na alipoingia uliona nusu uwanja Simba hawakuonana Tena. Pia mechi ya Simba ilifaa Baka na Nondo ndo wacheze double sentahafu.

Nigeria tunashinda Leo Prof Nabi Huwa harudii makosa! Hii ni mechi ya kisasi itakuwa na balaa kubwa la Moloko na Mudathir!
 
Usihofu Nabi ni Profesa wa soka sisi tunashinda uwanja wowote mbona waarabu tuliwatoa kwao. Game ya derby ya Simba ni ya mauzauza na Wala Yanga haikuwauma kupoteza sababu goli si halali Kona pia haikuwa halali alietoa mpira ni mchezaji wa Simba kama kungekuwa na VAR goli lingefutwa mechi ingekuwa vingine na hata huyo Kibu asingefunga halafu we uliona wapi refa kwanza ni Mwanamke kapewa bahasha na wakati kageuka upande mwingine anaelekeza wachezaji wanaogombana huko nyuma mpira umeanzishwa Tena mpira wa Kona bila filimbi ya mwamuzi. Na kwa kawaida tunaona ulaya refa akipanga wachezaji kwenye 18 kabla ya Kona kupigwa mshika kibendera husimama mbele ya mpira Ili Kona isipigwe bila mwamuzi kuwa tayari na kuruhusu ila mechi ya Simba haikuwa hivyo Simba walivizia Yanga hawajajipanga na bila filimbi ya mwamuzi aliekuwa akiangalia kwingine wakaanza mpira na kufunga na kuwatoa mchezoni Yanga ambao kutokana na uchawi mzito wa kukafini maiti hawakuwa wakielewa wako uwanja wa taifa au chamazi! Kwa mara ya kwanza tangu Bangala aje Yanga kwenye derby aliomba kutolewa akisema mpira hauoni!!

Simba Haina msuli wa kuifunga Yanga bila makandokando mechi ya mwisho tulicheza kumi baada ya mukoko kutolewa kwa red, mechi ya juzikati mpira umeanzishwa wakati refa Yuko anapanga wachezaji sio football Ile ni uhuni tu kuhakikisha angalau Simba wanapata kombe moja nalo ni kuifunga Yanga maana kabati lao la makombe limejaa vumbi mwaka wa pili Sasa!!

Kosa la kiufundi la Yanga kwenye derby ni kumuweka nje Mudathir kama ambavyo Mashabiki tulitegemea kivuruge Huyu ataanza wakamuweka benchi na alipoingia uliona nusu uwanja Simba hawakuonana Tena. Pia mechi ya Simba ilifaa Baka na Nondo ndo wacheze double sentahafu.

Nigeria tunashinda Leo Prof Nabi Huwa harudii makosa! Hii ni mechi ya kisasi itakuwa na balaa kubwa la Moloko na Mudathir!
Tuwalaumu walimu wako wa Lugha au ututusa wako tu!
 
Hadi leo bado mnaweweseka kufungwa na Simba!,hiyo imeenda mimba tayari iliingia haijalishi ulibakwa au ulitoa mwenyewe kwa hiari yako,na leo tena mtapigwa kama ngoma na Rivers mtake mstake
 
Back
Top Bottom