Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Nguruwe jike uliezaliwa na mbwa kwenye ubora wako!Kwa kweli umevurugwa na ukichanganya na huna akili ni shida tupu kenge maji mkubwa
Dawa imekuingia sawia I can see that🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguruwe jike uliezaliwa na mbwa kwenye ubora wako!Kwa kweli umevurugwa na ukichanganya na huna akili ni shida tupu kenge maji mkubwa
Mna kombe moja tayari msimu huu kuifunga Yanga! Ila ukweli mnaujua bingwa huanzia ugenini anazuia tu kwao Morocco mtakoma mtakandwa week na mna bahati Msuva hayupo angewakanda ndani nje!
Jana Wydad hawakutaka kuanguka kwa utelezi wakiona mpira wa hovyo mnacheza Huku mnanyeshewa mvua kama Bata mzinga na hawakucheza kabisa kutafuta ushindi Simba walihangaika sana kutaka kuonekana ni timu kubwa jamaa wanacheza kwa kurelax na Kwa mpira wa kitabu! Counter attacks tu, Hata goli lilifungwa kwa juhudi binafsi si uwezo wa timu Wydad wakashangaa mmefungaje timu dhaifu Haina kombe lolote miaka miwili Sasa ni kusindikiza Mabingwa wa Kihistoria Dar Young Africans!
Mwende Morocco na kapu la magoli utopolo tuna uhakika mvua hamna kule na mtakakandwa magoli ya Kihistoria maana thamani ya mchezaji mmoja wa Wydad ni sawa ujumlishe Inonga, Mzee Onyango, Bocco, Chama, Baleke, Kanoute , Sakho na Tshabalala!
Mkishakandwa mje kushtaki mi nimekaa pale!!
🤣🤣🤣 sawa mimi nitarudi baadaye kukusalimiaDarubini yako itakuwa ni Ile ya kitoto umenunua Jana ulipotembea sikukuu ya Eid Ile unaweka picha inakuzwa!! Mbumbumbu fc kwenye ubora wako!
Leo ni mechi ya kisasi Utopolo tunashinda na usikimbie tutakuja kwako tukipuliza mavuvuzela baada ya ushindi wa tatu bila! Makolo hamtaamini sisi mechi tuliyowekeza ni Leo sio derby ambazo tumewapiga kama ngoma bila huruma tangu 2019 hamjui kuifunga Yanga kwenye ligi bila makandokando ya kuanzisha mpira bila filimbi ya Refa mara tucheze kumi ndo mshinde msuli hamna wa kuipiga Yanga!
Tuwalaumu walimu wako wa Lugha au ututusa wako tu!
Hadi leo bado mnaweweseka kufungwa na Simba!,hiyo imeenda mimba tayari iliingia haijalishi ulibakwa au ulitoa mwenyewe kwa hiari yako,na leo tena mtapigwa kama ngoma na Rivers mtake mstake
🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂Tuiombee MemaLeo lazima yanga ife...nimekaa pale..mtakuja kunipa mrejesho
Uliona wapi Yanga inalia labda kwa furaha ya kubeba makombe, unahitajika Mirembe wewe!Hua nafurahi nikiona yanga wanalia, Rivers United nisaidieni.
Kila La Heri Utopolo Fanyeni Kama Simba Ushindi
Wachawi kuwajua rahisi sanaNimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
Simba Ndiyo Kila Kitu Kuhusu Soka La Tanzania 🇹🇿Simba ni mdudu Gani?
Leo WENYEUCHI, Oooh sorry WANANCHI, lazima wapasuliwe iwe mvua liwe jua. Sasa we endelea kuishi kwenye denial ili uzidi kuteseka.Yanga haina watu matutusa kama wewe, jitaje timu yako rasmi, hata ushoga unaanzaga hivihivi kwa kutamani jinsia ya Pili.
Soka la ufukweni au la wanawake? Kila kitu hata makombe pia mnayo?Simba Ndiyo Kila Kitu Kuhusu Soka La Tanzania 🇹🇿
Mkuu Kila Kitu Acha Kusikia Kwa WatuSoka la ufukweni au? Kila kitu hata makombe pia mnayo?
Sawa sawa mkuuNimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United