Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
- Thread starter
-
- #561
Tuombe tusonge mbeleHuko kutakuwa ni kujifariji ila uhalisia ni tofauti. Nusu fainali hili kombe timu inalipwa Tsh ngapi?
Usilinganishe Shirikisho na Klabu BingwaKama ni rahisi na nyie wengine mkafunge mbili kule Morocco. [emoji1787][emoji1787]
Ila lolote linaweza kutokeaNenda urudi alafu tuone kama utatoka tena mpaka msimu ujao
YANGA 0
RIVERS UNITED 3
NI SWALA LA MUDA TU[emoji1184][emoji1184][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
💚💛💪Siyo ushindi ni heshima kubwa mkuu....sio siri tena, chakula cha ugenini ni kitamu sana! Yanga tunajilia vyetu ugenini, huu ni zaidi ya ushindi.
Uko Hai?YANGA 0
RIVERS UNITED 3
NI SWALA LA MUDA TU[emoji1184][emoji1184][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
Pye pye pyeeeeOut of my bell shall flow RIVERS
RIVERS of living water iyaa iyaa eeh.
KILA LA KHERI RIVERS UNITED
Dakika ya Ngapi?
Vipi ule mshono wenu bado haujapigwa tu!! 😃Bora ya Ruvu kuliko hii takataka
Kwani uongo ofsa?Too weak wewe kwa mkeo achana na yanga dogo
Kweli kabisa Rivers na timu za Nigeria ni weak sana ila bado sisi hatukufika NusuNa sio tu kusonga mbele, ishu unasonga mbele kwenye upinzani gani uliokutana nao?
Yani licha ya udogo wa mashindano bado kumekuwa na timu ambazo ni too weak.
Ndivyo mpira wa miguu ulivyo, one mistake one goal lakini tumefunga mawiliNaona yanga wametumia mwanya wa rivers kupanda.
Mkuu unaishi dunia gani?Kwa mara ya kwanza timu ya Tanzania inaenda nusu fainali kwa mashindano ya ngazi za vilabu Africa 🫡🫡🫡 Hongereni sana