FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Wachezaji wa Yanga wanacheza kibinafsi Sana zaidi ya kitimu kama Simba. Mayele anatafita sifa ya kuwa mfungaji Bora hivyo analazimisha kufunga yeye tuu mwisho mipira inapotea. Penetration passes za ki Azizi zinaishia ku blokiwa na adui, Kila mtu anachezs kwa jazba ili afunge yeye, beki zinakatika. Wakitaka waanze mechi kwa utulivu MAYELE AANZIE BENCHI
 
Sema Yanga wanachakujifunza Kwa Simba Duh so Kwa Moshi wa Jana [emoji23][emoji23] jamani mlikuwepo uwanjani kulikoni tuliokuwa mikoani kwenye mabanda tukajua Benjamin mpaka ndo basi tena imepigwa short ya umeme kumbe hamna bhana
 
Hata angecheza kocha mngekandwa tuuu
 
Wanaija Kandeni huo mshono na maji ya motooo ufumuke....
Eee mbwai mbwai tuuu
Nyie wakutuombea mabaya kwa waidadi nyieeee basi ngoja na sisi tufanye vivyo japo maombi yenu hayakujibiwa mnasubiria ya Ijumaa..
😄 😄
 
Hata angecheza kocha mngekandwa tuuu
Mna kombe moja tayari msimu huu kuifunga Yanga! Ila ukweli mnaujua bingwa huanzia ugenini anazuia tu kwao Morocco mtakoma mtakandwa week na mna bahati Msuva hayupo angewakanda ndani nje!

Jana Wydad hawakutaka kuanguka kwa utelezi wakiona mpira wa hovyo mnacheza Huku mnanyeshewa mvua kama Bata mzinga na hawakucheza kabisa kutafuta ushindi Simba walihangaika sana kutaka kuonekana ni timu kubwa jamaa wanacheza kwa kurelax na Kwa mpira wa kitabu! Counter attacks tu, Hata goli lilifungwa kwa juhudi binafsi si uwezo wa timu Wydad wakashangaa mmefungaje timu dhaifu Haina kombe lolote miaka miwili Sasa ni kusindikiza Mabingwa wa Kihistoria Dar Young Africans!

Mwende Morocco na kapu la magoli utopolo tuna uhakika mvua hamna kule na mtakakandwa magoli ya Kihistoria maana thamani ya mchezaji mmoja wa Wydad ni sawa ujumlishe Inonga, Mzee Onyango, Bocco, Chama, Baleke, Kanoute , Sakho na Tshabalala!

Mkishakandwa mje kushtaki mi nimekaa pale!!
 
Nimechungulia kwenye darubini ya kuangalia mwezi, leo Yanga anapasuka 2-0
Darubini yako itakuwa ni Ile ya kitoto umenunua Jana ulipotembea sikukuu ya Eid Ile unaweka picha inakuzwa!! Mbumbumbu fc kwenye ubora wako!

Leo ni mechi ya kisasi Utopolo tunashinda goli nyingi na usikimbie tutakuja kwako tukipuliza mavuvuzela baada ya ushindi wa tatu bila! Makolo hamtaamini sisi mechi tuliyowekeza ni Leo sio derby ambazo tumewapiga kama ngoma bila huruma tangu 2019 hamjui kuifunga Yanga kwenye ligi bila makandokando ya kuanzisha mpira bila filimbi ya Refa mara tucheze kumi ndo mshinde msuli hamna wa kuipiga Yanga!
 
Twende kazi
 
Kwa kweli umevurugwa na ukichanganya na huna akili ni shida tupu kenge maji mkubwa
 
Tuwalaumu walimu wako wa Lugha au ututusa wako tu!
 
Hadi leo bado mnaweweseka kufungwa na Simba!,hiyo imeenda mimba tayari iliingia haijalishi ulibakwa au ulitoa mwenyewe kwa hiari yako,na leo tena mtapigwa kama ngoma na Rivers mtake mstake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…