FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Mimba tayari una kichefuchefu baada ya zile mbili
 
🤣🤣🤣 sawa mimi nitarudi baadaye kukusalimia
 
Nyie Makolo fc mmebeba Mimba nyingi za Derby tangu 2019 ni kipigo tu mnalia ovyo!

Yanga iliwekeza mechi ya kisasi ya Leo sio derby! Kweli masikini akipata m... Hulia mbwata! Jezi zenu mlifungia kabatini zingine mnapigia deki wiki iliyopita ndo mmeanza kuvaa, nasema uwongo?

Tulia wewe kolo hii ni mechi ya kisasi Leo Utoh tunashinda 3 - 0 usijifiche tukija kwako na mavuvuzela baada ya ushindi wetu huko Naija!
Hadi leo bado mnaweweseka kufungwa na Simba!,hiyo imeenda mimba tayari iliingia haijalishi ulibakwa au ulitoa mwenyewe kwa hiari yako,na leo tena mtapigwa kama ngoma na Rivers mtake mstake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…