Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Simba 2 - 0 YangaRivers 2 - 0 Wydad Casablanca Full Time
Na safari imeishia hapo.Nimetoka kumfunga Bingwa mtetezi wa Cafcl leo niumie na losers wawili wanaoruka ruka
Kalpana zawadi yako hii Ndugu [emoji116]Mamdogo punguza gubu ona sasa
Hiyo Robo fainali mliicheza mwaka gani na Caf ipi ?Wape Heshima yanga wewe, Ndiyo klabu ya kwanza East Africa kucheza Robo fainali CAF, na kama haitoshi ndio klabu yenye makombe mengi ligi kuu na iliyowahi kushinda ubingwa ligi kuu mara tano mfulululizo, kama haitoshi ndio klabu ya kwanza kuuza mchezaji Ulaya SUNDAY manara, wewe kunifunga derby moja ndani ya miaka mitatu unapiga makelele pye pye pye
Bado nashangaa unakwama wapi Mama na huo uzuri wote kushabikia Thiiimba, ebu karibu Yanga ili uzidi kung'aa kama Cleopatra [emoji2960][emoji28]Bantu Lady yani ww ni mkyutieee tatizo unashangilia Yang'aaaaa
Robo fainali ya Cafcl ina thamani zaidi ya hilo kombe lenu la mbuzi, ukibisha nitajie mara ya mwisho mmecheza makundi tu ya Cafcl ilikua mwaka gani
Kupanga ni kuchagua.Chukueni nyie hiyo nyingi
Yanii..ngoja mkichukua ubingwa wa nbc 😄 😄Bado nashangaa unakwama wapi Mama na huo uzuri wote kushabikia Thiiimba, ebu karibu Yanga ili uzidi kung'aa kama Cleopatra [emoji2960][emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
VyoteKupanga ni kuchagua.
Unataka sifa au unataka hela?
Hiyo option mara ya mwisho alikuwa nayo mwakinyo.
Pamoja mkuuHongereni sana Yanga
Huku kwenye viwete Simba kausha shiriki na hana kombe. Msimu uliopita kwenye kombe la viwete kaishia robo fainali kama kawaida yakeClub Bingwa kugumu yani chochote unachokupata kwenye hii hatua ni big worth
Umefuuga timu ha viwete basi unaviiimbaa unajiona Bayern hapo ulipo
Unfortunately you can't have bothVyote
Simba ameshiriki hilo kombe, akawasha na moto uwanjani ila akaishia robo fainali. Ingekuwa ni michuono rahisi mngefika hata nusu fainali tuwaone.Robo fainali ya Cafcl ina thamani zaidi ya hilo kombe lenu la mbuzi, ukibisha nitajie mara ya mwisho mmecheza makundi tu ya Cafcl ilikua mwaka gani
Mechi imechezwa lini?
Kalpana unakwama wapi kuhamia Yanga kwa visu hivi?WERAAAAAAAAAAAA.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna [emoji240] haziamini kilichotokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawewe ambaye ulishiriki na haukuweza kufika hatua ya robo tukuiteje?Huku kwenye viwete Simba kausha shiriki na hana kombe. Msimu uliopita kwenye kombe la viwete kaishia robo fainali kama kawaida yake
Ndiyo