FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Mamdogo punguza gubu ona sasa
Kalpana zawadi yako hii Ndugu [emoji116]
Screenshot_2023-04-23-19-08-57-11_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wape Heshima yanga wewe, Ndiyo klabu ya kwanza East Africa kucheza Robo fainali CAF, na kama haitoshi ndio klabu yenye makombe mengi ligi kuu na iliyowahi kushinda ubingwa ligi kuu mara tano mfulululizo, kama haitoshi ndio klabu ya kwanza kuuza mchezaji Ulaya SUNDAY manara, wewe kunifunga derby moja ndani ya miaka mitatu unapiga makelele pye pye pye
Hiyo Robo fainali mliicheza mwaka gani na Caf ipi ?
 
Robo fainali ya Cafcl ina thamani zaidi ya hilo kombe lenu la mbuzi, ukibisha nitajie mara ya mwisho mmecheza makundi tu ya Cafcl ilikua mwaka gani
Simba ameshiriki hilo kombe, akawasha na moto uwanjani ila akaishia robo fainali. Ingekuwa ni michuono rahisi mngefika hata nusu fainali tuwaone.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
WERAAAAAAAAAAAA.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna [emoji240] haziamini kilichotokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kalpana unakwama wapi kuhamia Yanga kwa visu hivi?
Screenshot_2023-04-23-19-19-27-63_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Huku kwenye viwete Simba kausha shiriki na hana kombe. Msimu uliopita kwenye kombe la viwete kaishia robo fainali kama kawaida yake
Nawewe ambaye ulishiriki na haukuweza kufika hatua ya robo tukuiteje?

Afu kile kipindi timu zilikuwa ngumu, imagine unacheza na Rs Berkane ambayo ipo kwenye ubora unacheza na Orlando Pirates ambao huko SA ni tishio

Na ukicheki hizo timu zote baada ya kutufunga sisi zote zilifika fainali.

Hiyo ina maanisha kipindi hicho kulikuwa na ugumu.

Hata saizi hakuna mpinzani uliyecheza naye mwenye kufikia hata nusu ya hao wawili
 
Back
Top Bottom