balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Upo ukitesekea wapi?Wanaija Kandeni huo mshono na maji ya motooo ufumuke....
Eee mbwai mbwai tuuu
Nyie wakutuombea mabaya kwa waidadi nyieeee basi ngoja na sisi tufanye vivyo japo maombi yenu hayakujibiwa mnasubiria ya Ijumaa..
[emoji1] [emoji1]
Rs Berkane wa kipindi hicho alikuwa bora, saizi naona kama kapokonywa wachezaji wake muhimu.Sasa Berkane uliyemuona ndio mzuri kipindi chenu na kawatimulia vumbi hadi kombe kabeba, ila huku aka ku prove wrong. Kakutana na Monastir akamsukumia nje huko. Huyo Orlando pirates hata kufuzu hakufuzu, Asec mimosa ndio pekee yupo hadi sasa, ila wengine wote wamekutana na moto wamekula kona.
Maswali ya kiwaki haya
Kwani kombe we mshabiki linakusaidia nini?
Hapa tunaangalia thamani ha kile ulichokipata sio title.
Wewe ukipata kombe lenye thamani ya 10M kwenye mashindano yenye kuhusisha team zenye Quality ya kina Namungo, huwezi ukawa sawa na yule aliyepata 1.5B baada ya kufika robo fainali ya Club Bingwa.
Sasa wamepasuliwa2, unasemaje sasaπ€Out of my bell shall flow RIVERS
RIVERS of living water iyaa iyaa eeh.
KILA LA KHERI RIVERS UNITED
Ni kweli walikuwa wababe kwasababu walikuwa na kikosi kizuri kuliko.walivyo sasa.Hao akina Orlando walikua wababe wakati wenu. Kwa sasa ni vibonde tu, ndio maana hata hawajafuzu.
Hawa waliopo ndio wababe wa sasa,na ndio mmaana wamefuzu na kufika hapo. Japo wakikutana na dude la kutisha la kuitwa Yanga, wanapoteana!
Na Bingwa wa CAFCL "WIDAD CASABLANCA" alipigwa na timu laini Berkane FC "Bingwa wa CAFCC" kwenye super cup 10/09/2022.Ugumu na upima kupitia performance
Timu ngumu nyingi haichezi hayo mashindano
Wataje wachezaji wake muhimu waliopokonywa, timu haipokonywi mchezaji bali ni biashara hufanyika. Kama alimuachia mchezaji kama free agent basi ni wewe ndiye uliyeona umuhimu wake ila wao hawakuona umuhimu wake.Rs Berkane wa kipindi hicho alikuwa bora, saizi naona kama kapokonywa wachezaji wake muhimu.
Halafu huyo Monastir sio wakumuona mkali kwasababu kamfunga Rs Berkane iliyo mbovu.
Niambie wewe ni timu gani ambayo mlikutana nayo ukasema huu ni mfupa?
Na Mzee Mpili akaomba mbele ya camera Simba waisaidie Yanga maana wana uzoefu na mashindano ya kimataifa.Uchambuzi ulianza kwenye mashindano mliyoanzia
Hamkuanzia shirikisho.
Sijaona sehemu ambayo umeelezwa uchambuzi kuhusu Yanga kutolewa Club Bingwa
Ni kwasababu unajua kuwa ilikuwa ni fact.
Lakini kama hujui, waliokuwa wakwanza kusema Yanga itatolewa kwenye shirikisho, mlikuwa ni nyinyi mashabiki.
Baada ya mechi yenu hapo kwa Mkapa kuisha kwa sare, mashabiki mlijitokeza mbele ya Camera mkiwa na hasira na kukosa matumaini ya kufika mbali.
Hayo sijui kama hata unayakumbuka
Mtani kuwa na akiba hii dunia ajuaye ya kesho ni Muumba pekee.Aaaaaah wapiiiiiiiiii nitakufa na kurise again
Hapa animals lazima waandamaneππMimba tayari una kichefuchefu baada ya zile mbili
Kalpana warembo wote hawa wanakung'ong'a kwanini hutuletei Mashabiki wa Yanga ulivyojaliwa [emoji16]Simba mnajidai kama hamjaona Yanga alichomfanya Rivers huko[emoji3][emoji3] mzabzab
Unamkumbuka uyu? Aliropokaπ€£π€£π€£ sawa mimi nitarudi baadaye kukusalimia
Yanga kwa ushindi mnono Naija Leo kama nilivyosema mwanzoni mwa Uzi huu, tena tumeshinda ugenini nchi yenye kiwango kikubwa Cha soka Utoh tunaenda nusu fainali kombe la loosers shirikisho , Njia yetu nyeupeee!Wanacheza utelembwe tu!
Na hii ndio maana halisi ya kombe l loosers!
Akijibu utanistuaKombe ni heshima, ni sawa na mtu kusimikwa alama ya ufalme. Hivyo timu yako ikipewa kombe ni sawasawa na kusimikwa ufalme wa mashindano.
Mahindi wa CAF confederation cup anapewa usd milion 1.25 je ni sawasawa na usd 650,000 anazopata timu inaishia robo fainali ya CAF champions league? Saa zingine uache kuwa mlevi wa ushabiki.
Njoo jukwa la chitchat..selfika uone visu live bila chenga..Kalpana unakwama wapi kuhamia Yanga kwa visu hivi?View attachment 2597316
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Arsenal ndiyo Western London FC kwa baadhi ya timu zingine iliyokuwa ya kwanza kutinga fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2006 na haikubeba kombe hilo.Mna miaka karibia 30 makundi tu ya champions league hamyajui,, fikeni tu hata makundi kama rahisi
Ukiwa broke utaona kupewa 100 ni bonge ya love.Kombe ni heshima, ni sawa na mtu kusimikwa alama ya ufalme. Hivyo timu yako ikipewa kombe ni sawasawa na kusimikwa ufalme wa mashindano.
Mahindi wa CAF confederation cup anapewa usd milion 1.25 je ni sawasawa na usd 650,000 anazopata timu inaishia robo fainali ya CAF champions league? Saa zingine uache kuwa mlevi wa ushabiki.