joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wewe si ulipangwa na kibonde tena alikuwa anashika nafasi ya saba ligi yso ulifanya nini zaidi ya kuota moto.Nafasi mliyoipata sio kushiriki, nafasi mliyoipata ni kupangwa na viande.
Kwani unafikiri kwanini kwenye Club Bingwa kulikushinda wakati nafasi ulipata?
Ahahahah sio nabii wa uongo.Nilikua na express was was nilionao na kwakwel huku niliko sasa nina furaha isiyo kifaniUnajionaje huko kolo ulipo saiv nabii wa uongo
Cry more and more like a baby [emoji4]Nawewe ambaye ulishiriki na haukuweza kufika hatua ya robo tukuiteje?
Afu kile kipindi timu zilikuwa ngumu, imagine unacheza na Rs Berkane ambayo ipo kwenye ubora unacheza na Orlando Pirates ambao huko SA ni tishio
Na ukicheki hizo timu zote baada ya kutufunga sisi zote zilifika fainali.
Hiyo ina maanisha kipindi hicho kulikuwa na ugumu.
Hata saizi hakuna mpinzani uliyecheza naye mwenye kufikia hata nusu ya hao wawili
ASIPUUZWE KABISA HUYU ANA HOJA [emoji116]Heshima ya timu inajengwa na vikombe vnavyotambulika na CAF/FIFA. ukiingia kutafuta profile ya timu utaona umeweka domestic cups na CAF interclub cups. Hizo pesa wewe kama mshabiki zinakusaidia nini? Au Mo anazigawaga kwa mashabiki pesa zinazovunwa? Shabiki raha yake ni vikombe sio pesa.
Na kizuri zaidi raha yako kwa wengine ni upumbavu mtupu ila sababu we ni kipofu na kiziwi basi huwezi kuona wala kusikia [emoji1787]Basi raha yako imeegemea kwenye vitu vya kijinga
Hiyo yote ni kwasababu umekaa 30 yrs bila kufika hii hatua
Nafasi ya 7 akiwa na viporo tofauti na huyo tulaWewe si ulipangwa na kibonde tena alikuwa anashika nafasi ya saba ligi yso ulifanya nini zaidi ya kuota moto.
Ila huyu kibonde wa leo Wydad alimpiga mbili Nigeria, sasa sijajua kibonde akicheza na Yanga tu.
Kwani wewe msimu uliopita si ulipata nafasi ya kushiriki club bingwa sasa kwanini ulidondokea shirikisho.
Kama kaunta ya kibu!?Mdau kanipa habari hapo juu
Imenistua sana tena ukicheki nafasi ya timu kwenye kigi kuu ilivyokuwa ya mashaka.
Sijaangalia game sijui hata wamepataje hilo bao ila kwa possession ya 60 kwa 40 nadhani kivyovyote itakuwa ni counter
Counter ni pigo ambalo linatumiwa na timu yenye uwezo mdogo.
Ngoja tuone matokeo ya mwisho yatakuwaje
Walaaniwe Makolokolo kwa kumpoteza huyo kenge maana walimjaza upumbavu ili aharibikiwe kabisa future yake [emoji57]Najiuliza, ile mbwa koko ya kizanzibar inajisikiaje, kususia timu iliyopo kwenye kilele cha mafanikio?
Ile ni pressing sio kaunta, kaunta ni ile mliyopata kwenye bao la pili mechi yenu ya leoKama kaunta ya kibu!?
Counter bana!!Ile ni pressing sio kaunta, kaunta ni ile mliyopata kwenye bao la pili mechi yenu ya leo
Sio counter ile, angalia hata wachezaji wa Yanga wengi walikuwa kwenye eneo lao.Counter bana!!
Kaunta ni kujibu,haijalishi position,Ila ukianzisha shambulizi kwako ndiyo siyo kauntaSio counter ile, angalia hata wachezaji wa Yanga wengi walikuwa kwenye eneo lao.
Counter inaanzia eneo la upinzani unafanya mashambulizi ya haraka kabla ya mpinzani hajafika kwenye eneo lake kutengeneza shape ya ulinzi
Sijui unapo ongea reference unatoa wapi.Nafasi ya 7 akiwa na viporo tofauti na huyo tula
Kasome tena kuhusu Counter attackKaunta ni kujibu,haijalishi position,Ila ukianzisha shambulizi kwako ndiyo siyo kaunta
Hii ni references inayohusu nini?Sijui unapo ongea reference unatoa wapi.
View attachment 2597516
Kaizer hakuwa na kiporo kama alikuwa navyo si kama ulivyokuwa navyo ww misimu minne iiyopita maana ww ulikuwa na viporo mpaka vitano. Ligi za wenzetu wanajua kupanga ratiba.
Msimamo wa league Nigeria 22/23 wao league yao ina Makundi mawili,Rivers ana mechi mbili mkononi.Hii ni references inayohusu nini?
Sina Cha kusoma kuhusu counter attack