FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Nafasi mliyoipata sio kushiriki, nafasi mliyoipata ni kupangwa na viande.

Kwani unafikiri kwanini kwenye Club Bingwa kulikushinda wakati nafasi ulipata?
Wewe si ulipangwa na kibonde tena alikuwa anashika nafasi ya saba ligi yso ulifanya nini zaidi ya kuota moto.

Ila huyu kibonde wa leo Wydad alimpiga mbili Nigeria, sasa sijajua kibonde akicheza na Yanga tu.

Kwani wewe msimu uliopita si ulipata nafasi ya kushiriki club bingwa sasa kwanini ulidondokea shirikisho.
 
... 🚨 Rekodi nyingine tena !!

» Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao.

» Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao 🇳🇬 🔥

» Rivers United wakiwa nyumbani msimu huu kwenye mashindano ya (CAF) !
Kubwa zaidi hawana ball on target hata moja😊😊
1. ✅ Rivers 2 - 1 🇲🇦 Wydad Casablanca
2. ✅ Rivers 5 - 0 🇱🇾 Al Nasr
3. ✅ Rivers 3 - 0 🇨🇮 ASEC Mimosas
4. ✅ Rivers 3 - 1 🇨🇩 Motema pembe
5. 🤝 Rivers 2 - 2 🇨🇬 Diables Noirs
6. ❎ Rivers 0 - 2 🇹🇿 Yanga SC

NB ; Kuna watu walitamani kusema Rivers ni wabovu, lakini wakikumbuka record hii wananyuti 🧐
 
Waoooooh.....Bantu Lady, Shadeeya, Beeb, tafadhali kwa heshima na taadhima nawaomba mumpokee mgeni wetu huyu pindi tu tutapotangaza ubingwa wa NBC PL 2022/2023.

Nimeshasevu hii ahadi yako Mama...[emoji1666][emoji122]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nawewe ambaye ulishiriki na haukuweza kufika hatua ya robo tukuiteje?

Afu kile kipindi timu zilikuwa ngumu, imagine unacheza na Rs Berkane ambayo ipo kwenye ubora unacheza na Orlando Pirates ambao huko SA ni tishio

Na ukicheki hizo timu zote baada ya kutufunga sisi zote zilifika fainali.

Hiyo ina maanisha kipindi hicho kulikuwa na ugumu.

Hata saizi hakuna mpinzani uliyecheza naye mwenye kufikia hata nusu ya hao wawili
Cry more and more like a baby [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Heshima ya timu inajengwa na vikombe vnavyotambulika na CAF/FIFA. ukiingia kutafuta profile ya timu utaona umeweka domestic cups na CAF interclub cups. Hizo pesa wewe kama mshabiki zinakusaidia nini? Au Mo anazigawaga kwa mashabiki pesa zinazovunwa? Shabiki raha yake ni vikombe sio pesa.
ASIPUUZWE KABISA HUYU ANA HOJA [emoji116]

"Heshima ya timu inajengwa na vikombe vnavyotambulika na CAF/FIFA. ukiingia kutafuta profile ya timu utaona umeweka domestic cups na CAF interclub cups. Hizo pesa wewe kama mshabiki zinakusaidia nini? Au Mo anazigawaga kwa mashabiki pesa zinazovunwa? Shabiki raha yake ni vikombe sio pesa."

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wewe si ulipangwa na kibonde tena alikuwa anashika nafasi ya saba ligi yso ulifanya nini zaidi ya kuota moto.

Ila huyu kibonde wa leo Wydad alimpiga mbili Nigeria, sasa sijajua kibonde akicheza na Yanga tu.

Kwani wewe msimu uliopita si ulipata nafasi ya kushiriki club bingwa sasa kwanini ulidondokea shirikisho.
Nafasi ya 7 akiwa na viporo tofauti na huyo tula
 
Mdau kanipa habari hapo juu

Imenistua sana tena ukicheki nafasi ya timu kwenye kigi kuu ilivyokuwa ya mashaka.

Sijaangalia game sijui hata wamepataje hilo bao ila kwa possession ya 60 kwa 40 nadhani kivyovyote itakuwa ni counter

Counter ni pigo ambalo linatumiwa na timu yenye uwezo mdogo.

Ngoja tuone matokeo ya mwisho yatakuwaje
Kama kaunta ya kibu!?
 
Counter bana!!
Sio counter ile, angalia hata wachezaji wa Yanga wengi walikuwa kwenye eneo lao.

Counter inaanzia eneo la upinzani unafanya mashambulizi ya haraka kabla ya mpinzani hajafika kwenye eneo lake kutengeneza shape ya ulinzi
 
Kaunta ni kujibu,haijalishi position,Ila ukianzisha shambulizi kwako ndiyo siyo kaunta
 
Nafasi ya 7 akiwa na viporo tofauti na huyo tula
Sijui unapo ongea reference unatoa wapi.
Screenshot_20230423_222749_Chrome.jpg

Kaizer hakuwa na kiporo kama alikuwa navyo si kama ulivyokuwa navyo ww misimu minne iiyopita maana ww ulikuwa na viporo mpaka vitano. Ligi za wenzetu wanajua kupanga ratiba.
 
Back
Top Bottom