Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Beki iko eneo gani?Mbona hiyo picha Kuna wachezaji/mabeki wa timu inayopigwa kaunta tofauti na maelezo Yako!?
Beki inayopigwa counter ipo kwenye eneo la mpinzani ikiwa kwenye attemt ya kushambukia
Sasa kutoka hapo walipo mpaka kurudi eneo lao kisha watengeneze shape ya ulinzi inakuwa ngumu.
Siku zote kukaba mpira kwa nyuma inakuwa ngumu zaidi utacheza rough, ili iwe rahisi unatakiwa um-face.
Sasa mtu kapokea mpira kaanza kukimbia nao, hapo utaipata wapi hiyo nafasi ya kukimbia ili uje umzuie kwa mbele?