FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Mbona hiyo picha Kuna wachezaji/mabeki wa timu inayopigwa kaunta tofauti na maelezo Yako!?
Beki iko eneo gani?

Beki inayopigwa counter ipo kwenye eneo la mpinzani ikiwa kwenye attemt ya kushambukia

Sasa kutoka hapo walipo mpaka kurudi eneo lao kisha watengeneze shape ya ulinzi inakuwa ngumu.

Siku zote kukaba mpira kwa nyuma inakuwa ngumu zaidi utacheza rough, ili iwe rahisi unatakiwa um-face.

Sasa mtu kapokea mpira kaanza kukimbia nao, hapo utaipata wapi hiyo nafasi ya kukimbia ili uje umzuie kwa mbele?

1682280443806.png
 
View attachment 2597541
Hapa nani kapokea mpira!?..mpira umepita wanaukimbiza wote,lete mchoro mwingine unaoakisi maelezo yako
 
Hapa nani kapokea mpira!?..mpira umepita wanaukimbiza wote,lete mchoro mwingine unaoakisi maelezo yako
Mpira umetanguliziwa mbele yake, we angalia hapo nani yupo mbele zaidi ya mwenzake

Hata ingetokea wamevuka huo mstari wa middle bado ingekuwa ni counter
 
Mdau kanipa habari hapo juu

Imenistua sana tena ukicheki nafasi ya timu kwenye kigi kuu ilivyokuwa ya mashaka.

Sijaangalia game sijui hata wamepataje hilo bao ila kwa possession ya 60 kwa 40 nadhani kivyovyote itakuwa ni counter

Counter ni pigo ambalo linatumiwa na timu yenye uwezo mdogo.

Ngoja tuone matokeo ya mwisho yatakuwaje
Mkuu marekebisho:

counter attacks ni staili ya uwindaji ya chui mwenye nguvu anaitwa Raja si timu ndogo iliwadhalilisha Hakimi bin Mbumbumbu fc!

Kwa Mkapa Raja waliipiga Zuwena fc goli tatu mzuka za counter tupu na kwao Morocco wakacheza mpira wao mkubwa wakaipiga Tena mikia tatu mzuka!!

Matokeo ya mwisho Mnyama atakandwa week (7-0).
 
HV Kweli kina msamiru ,Bab ester , Mohamed husseni ndio ,chama ,baleke ,kibu ndio waaifushe Simba kwenda nusu fainali Mbna Ni kichekeshoo hiki
 
Huku kwenye viwete Simba kausha shiriki na hana kombe. Msimu uliopita kwenye kombe la viwete kaishia robo fainali kama kawaida yake
kaishia robo fainali kama kawaida yake pamoja na kuchoma kiwanja cha watu.
 
Mkuu marekebisho:

counter attacks ni staili ya uwindaji ya chui mwenye nguvu anaitwa Raja si timu ndogo iliwadhalilisha Hakimi bin Mbumbumbu fc!

Kwa Mkapa Raja waliipiga Zuwena fc goli tatu mzuka za counter tupu na kwao Morocco wakacheza mpira wao mkubwa wakaipiga Tena mikia tatu mzuka!!

Matokeo ya mwisho Mnyama atakandwa week (7-0).
Ulivyoanza nilitaka almanusra nikuzingatie
 
Yanga msimu huu inaelekea kuchukua kombe la Shirikisho.
Sioni wa kumzuia kwenye timu za Shirikisho.

Matokeo ya Awali.

USM Urger 2
AS FAR Rabat 0

Monastir 0
ASEC Memosa 0

Pyramids 0
Gallants 0

Rivers United 0
Yanga Yangu 2

Yanga anaenda kukutana na ama Pyramids au Gallant fc Nusu Fainari
Na akishinda atakutana na ama USM Urger au AS FAR Rabat.

Naiona Yanga ikibeba hii Ndoo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tatizo lenu Simba, huwa hamchezi kwa akili muwapo ugenini. Always mnawaza Sare hasa hizi game za mtoano. Waangalieni Yanga wakiwa ugenini wanacheza kama wako kwao.
Mnapiga bomu mochwari afu mwajisifu mmeua
 
Wanalipwa $450,000 sawa na 1,055,250,000

Wakati robo fainali Simba anakusanya zaidi ha Sh. 1,524,250,000 na 500,000 ya kutolea
Kuna utofauti wa wazi wa thamani ya hayo mashindano.
 
Back
Top Bottom