FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Njoo jukwa la chitchat..selfika uone visu live bila chenga..
Nakutuku picha ya me liveeeee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huwa si mpenzi sana wa hiyo mitandao, na sipendi kupoteza hiyo neema, labda nikuje pm huenda nikakuona jinsi gani ulivyoumbika na ukaumbika haswa kiuzuri Mama [emoji3]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yani sijajua imekuwaje mpaka wewe ukaniletea huo msimamo kama references
Nimekuonyeshea performance ya Rivers msimu huu ktk ligi yao,mliyempa jina kibonde baada ya kufungwa na Yanga, ila kuna wenzako walimsifia kisa kamfunga Wydad ila leo kwakuwa kapigwa na Yanga mnamwita kibonde.
 
Hongereni sana YANGA kwa kummaliza Rivers Nyumbani kwao…!!! Mwanaume rijali, haogopi kama baba mkwe atasikia kelele za binti yake…!!! Anamaliza mzigo MAZIMA…!!

YOUNG AFRICANS 2 - Rivers hajapata kitu…!!!!
 
Nimekuonyeshea performance ya Rivers msimu huu ktk ligi yao,mliyempa jina kibonde baada ya kufungwa na Yanga, ila kuna wenzako walimsifia kisa kamfunga Wydad ila leo kwakuwa kapigwa na Yanga mnamwita kibonde.
Baada ya kufungwa na Yanga?

Hii ilikuwa ni siku ya draw
 
Mpira toka kwa kipa kwenda kwa mshambuliaji ni kaunta!?
Ni counter kutokana na kwamba mpira haujaanzishaa na kipa baada ya kutoka nje.

Ni baada ya timu pinzani kujikusanya golini kwa wingi kwa ajili ya kufanya shambulizi huku katika eneo lao hakuna back line yeyote.

Hivyo katika shambulizi lao likazuliwa na kipa, kipa fasta akaanzisha mpira kwa mshambuliaji ambapo kwa wakati huo wapinzani wote wapo kwenye lango lao.

Hiyo picha inafanana na ile counter ya Liverpool waliyocheza na Man City. Uliona baada ya kipa kudaka mpira nini kilifata
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wamekula Kona kali
 
Tangu mwanzo niliona Rivers haina makubwa ya kustaajabisha
 
Mbona hiyo picha Kuna wachezaji/mabeki wa timu inayopigwa kaunta tofauti na maelezo Yako!?
 
Hawa rivers wamefanya kosa kubwa sana. Nafasi yao ya kupita ni ndogo sana. Ni kama haipo.
Napitia comments zako tartiiiiiiiiiib, nacheka sasa.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Reactions: Tsh
Hadi sasa Yanga keshaingia Nusu

Simba tuna mlima mkubwa sana, tukitoka tutadharauriwa na hawa watu hadi tujute
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tatizo lenu Simba, huwa hamchezi kwa akili muwapo ugenini. Always mnawaza Sare hasa hizi game za mtoano. Waangalieni Yanga wakiwa ugenini wanacheza kama wako kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…