FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Njoo jukwa la chitchat..selfika uone visu live bila chenga..
Nakutuku picha ya me liveeeee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huwa si mpenzi sana wa hiyo mitandao, na sipendi kupoteza hiyo neema, labda nikuje pm huenda nikakuona jinsi gani ulivyoumbika na ukaumbika haswa kiuzuri Mama [emoji3]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yani sijajua imekuwaje mpaka wewe ukaniletea huo msimamo kama references
Nimekuonyeshea performance ya Rivers msimu huu ktk ligi yao,mliyempa jina kibonde baada ya kufungwa na Yanga, ila kuna wenzako walimsifia kisa kamfunga Wydad ila leo kwakuwa kapigwa na Yanga mnamwita kibonde.
 
Hongereni sana YANGA kwa kummaliza Rivers Nyumbani kwao…!!! Mwanaume rijali, haogopi kama baba mkwe atasikia kelele za binti yake…!!! Anamaliza mzigo MAZIMA…!!

YOUNG AFRICANS 2 - Rivers hajapata kitu…!!!!
 
Hahaa mwambie aje aoneshe hayo mashallah
Imagine vifaa vilaiiiinii kama hivi anaachaje kuja Yanga ili azidi kuwa Pisi Kali kama Delilah [emoji2960][emoji16]
Screenshot_2023-04-23-22-41-57-45_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuonyeshea performance ya Rivers msimu huu ktk ligi yao,mliyempa jina kibonde baada ya kufungwa na Yanga, ila kuna wenzako walimsifia kisa kamfunga Wydad ila leo kwakuwa kapigwa na Yanga mnamwita kibonde.
Baada ya kufungwa na Yanga?

Hii ilikuwa ni siku ya draw
Screenshot_20230423-224227.png
Screenshot_20230423-224302.png
Screenshot_20230423-224358.png
 
Mpira toka kwa kipa kwenda kwa mshambuliaji ni kaunta!?
Ni counter kutokana na kwamba mpira haujaanzishaa na kipa baada ya kutoka nje.

Ni baada ya timu pinzani kujikusanya golini kwa wingi kwa ajili ya kufanya shambulizi huku katika eneo lao hakuna back line yeyote.

Hivyo katika shambulizi lao likazuliwa na kipa, kipa fasta akaanzisha mpira kwa mshambuliaji ambapo kwa wakati huo wapinzani wote wapo kwenye lango lao.

Hiyo picha inafanana na ile counter ya Liverpool waliyocheza na Man City. Uliona baada ya kipa kudaka mpira nini kilifata
 
Sasa Berkane uliyemuona ndio mzuri kipindi chenu na kawatimulia vumbi hadi kombe kabeba, ila huku aka ku prove wrong. Kakutana na Monastir akamsukumia nje huko. Huyo Orlando pirates hata kufuzu hakufuzu, Asec mimosa ndio pekee yupo hadi sasa, ila wengine wote wamekutana na moto wamekula kona.
[emoji23][emoji23][emoji23] wamekula Kona kali
 
Mimi kuna wenzako nipo nao kwenye magroup walipost matokeo ya mechi ya River na Wydad kututisha plus Genta na thread yake sasa leo wengi wenu nashangaa kuwaita hawa jamaa ni vibonde, ww naona ulikiwa najicho la peke yako ila wenzako walio wengi wakikuwa wanatuchukulia tofauti.
Tangu mwanzo niliona Rivers haina makubwa ya kustaajabisha
 
Ni counter kutokana na kwamba mpira haujaanzishaa na kipa baada ya kutoka nje.

Ni baada ya timu pinzani kujikusanya golini kwa wingi kwa ajili ya kufanya shambulizi huku katika eneo lao hakuna back line yeyote.

Hivyo katika shambulizi lao likazuliwa na kipa, kipa fasta akaanzisha mpira kwa mshambuliaji ambapo kwa wakati huo wapinzani wote wapo kwenye lango lao.

Hiyo picha inafanana na ile counter ya Liverpool waliyocheza na Man City. Uliona baada ya kipa kudaka mpira nini kilifata
Mbona hiyo picha Kuna wachezaji/mabeki wa timu inayopigwa kaunta tofauti na maelezo Yako!?
 
Hawa rivers wamefanya kosa kubwa sana. Nafasi yao ya kupita ni ndogo sana. Ni kama haipo.
Napitia comments zako tartiiiiiiiiiib, nacheka sasa.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hadi sasa Yanga keshaingia Nusu

Simba tuna mlima mkubwa sana, tukitoka tutadharauriwa na hawa watu hadi tujute
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tatizo lenu Simba, huwa hamchezi kwa akili muwapo ugenini. Always mnawaza Sare hasa hizi game za mtoano. Waangalieni Yanga wakiwa ugenini wanacheza kama wako kwao.
 
Back
Top Bottom