Beki iko eneo gani?Mbona hiyo picha Kuna wachezaji/mabeki wa timu inayopigwa kaunta tofauti na maelezo Yako!?
Hapa nani kapokea mpira!?..mpira umepita wanaukimbiza wote,lete mchoro mwingine unaoakisi maelezo yakoBeki iko eneo gani?
Beki inayopigwa counter ipo kwenye eneo la mpinzani ikiwa kwenye attemt ya kushambukia
Sasa kutoka hapo walipo mpaka kurudi eneo lao kisha watengeneze shape ya ulinzi inakuwa ngumu.
Siku zote kukaba mpira kwa nyuma inakuwa ngumu zaidi utacheza rough, ili iwe rahisi unatakiwa um-face.
Sasa mtu kapokea mpira kaanza kukimbia nao, hapo utaipata wapi hiyo nafasi ya kukimbia ili uje umzuie kwa mbele?
View attachment 2597541
Mpira umetanguliziwa mbele yake, we angalia hapo nani yupo mbele zaidi ya mwenzakeHapa nani kapokea mpira!?..mpira umepita wanaukimbiza wote,lete mchoro mwingine unaoakisi maelezo yako
[emoji3][emoji3][emoji3]Bora ya Ruvu kuliko hii takataka
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]FT RIVERS UNITED 2 VS O MAITI FC.
KILA LA KHERI RIVERS UNITED TOKA PORT HARCOURT NIGERIA.
Mkuu marekebisho:Mdau kanipa habari hapo juu
Imenistua sana tena ukicheki nafasi ya timu kwenye kigi kuu ilivyokuwa ya mashaka.
Sijaangalia game sijui hata wamepataje hilo bao ila kwa possession ya 60 kwa 40 nadhani kivyovyote itakuwa ni counter
Counter ni pigo ambalo linatumiwa na timu yenye uwezo mdogo.
Ngoja tuone matokeo ya mwisho yatakuwaje
HV Kweli kina msamiru ,Bab ester , Mohamed husseni ndio ,chama ,baleke ,kibu ndio waaifushe Simba kwenda nusu fainali Mbna Ni kichekeshoo hikiMkuu marekebisho:
counter attacks ni staili ya uwindaji ya chui mwenye nguvu anaitwa Raja si timu ndogo iliwadhalilisha Hakimi bin Mbumbumbu fc!
Kwa Mkapa Raja waliipiga Zuwena fc goli tatu mzuka za counter tupu na kwao Morocco wakacheza mpira wao mkubwa wakaipiga Tena mikia tatu mzuka!!
Matokeo ya mwisho Mnyama atakandwa week (7-0).
kaishia robo fainali kama kawaida yake pamoja na kuchoma kiwanja cha watu.Huku kwenye viwete Simba kausha shiriki na hana kombe. Msimu uliopita kwenye kombe la viwete kaishia robo fainali kama kawaida yake
Wee umewahi wafunga hao Casablanca? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopolooo bhanaaa.Makolo wakifunga goli mbili CASABLANCA Man city atashuka daraja.
Ulivyoanza nilitaka almanusra nikuzingatieMkuu marekebisho:
counter attacks ni staili ya uwindaji ya chui mwenye nguvu anaitwa Raja si timu ndogo iliwadhalilisha Hakimi bin Mbumbumbu fc!
Kwa Mkapa Raja waliipiga Zuwena fc goli tatu mzuka za counter tupu na kwao Morocco wakacheza mpira wao mkubwa wakaipiga Tena mikia tatu mzuka!!
Matokeo ya mwisho Mnyama atakandwa week (7-0).
Subiri Wydad awagonge ndio mtajua kama hao ni vibonde au vidimbwiClub Bingwa kugumu yani chochote unachokupata kwenye hii hatua ni big worth
Umefunga timu ya viwete basi unaviiimbaa unajiona Bayern hapo ulipo
Kwahio nyie kwenye timu ngumu hamtoboiKwasababu kile kipindi kulikuwa na timu ngumu.
Jiulize kwanini wewe kile kipindi hukuweza kufika hata makundi?
Mnapiga bomu mochwari afu mwajisifu mmeua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tatizo lenu Simba, huwa hamchezi kwa akili muwapo ugenini. Always mnawaza Sare hasa hizi game za mtoano. Waangalieni Yanga wakiwa ugenini wanacheza kama wako kwao.
Kuna utofauti wa wazi wa thamani ya hayo mashindano.Wanalipwa $450,000 sawa na 1,055,250,000
Wakati robo fainali Simba anakusanya zaidi ha Sh. 1,524,250,000 na 500,000 ya kutolea
Sijui imekuaje. Ni kama vile haikuwa mechi ya umuhimu kwa mashabiki.Mbona Rivers walivyokuja Tz walikuwa na mashabiki wengi tu imekuwaje leo hawana?
Cheka tu mwana Yanga, ni haki yako.Napitia comments zako tartiiiiiiiiiib, nacheka sasa.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jumulisha hela ya quarter na semi final inakua sh ngapi,?Wanalipwa $450,000 sawa na 1,055,250,000
Wakati robo fainali Simba anakusanya zaidi ha Sh. 1,524,250,000 na 500,000 ya kutolea