FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Kwa hiki kikosi naweza kujikakamua nkaweka ki elfu ishirini changu, lakn mh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Wanaija Kandeni huo mshono na maji ya motooo ufumuke....
Eee mbwai mbwai tuuu
Nyie wakutuombea mabaya kwa waidadi nyieeee basi ngoja na sisi tufanye vivyo japo maombi yenu hayakujibiwa mnasubiria ya Ijumaa..
[emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Za ndani zinasema rivers mazoezi yao huwa wanafanyia kwenye mto

Sasa kama shuti la kwenye maji tu kipa anababuka mikono je uwanjani itakuaje?[emoji16][emoji16]


Leo naona kabisa shaolin soccer 2 inatoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ’›πŸ’šπŸ”° ushindi ni lazima
 
Mashabiki wa simba kwa ukiherehere tu, hamjambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tuliaaa, mbna unaanza kutoa chozii na hata warm up wachezaji hawajafanyaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…