Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahLeo yanga tunaweza tukafungwa amini usiamini ila kuchomoka na ushindi leo ni ngumu sanaaaa.
Nina was was na mentality ya wachezaji toka tupigwe na kitu kizito kwenye mechi ya derby.wachezaji morali haiko juu kama pale awali.
Kama uchawi wa bagamoyo tu ulituchapa goli 2 sasa uchawi wa nigeria je??????
Watabirie mema wawakilishi wa Tz huko CAFCCHuko Nigeria, Yanga itapoteza kwa magoli mawili kisha hapa Dar-es Salaam game itakuja kuisha kwa sare ya 1-1.
Tayari ....kujilinda zaidi ....amejaza viungo na walinziVikosi bado?
Kila la kherii mtaniiii.Hamna kisichoshindikana kwenye kabumbu. Tunachohitaji Timu ya Wananchi ni ushindi pekee.
Kila la kheri Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaija Kandeni huo mshono na maji ya motooo ufumuke....
Eee mbwai mbwai tuuu
Nyie wakutuombea mabaya kwa waidadi nyieeee basi ngoja na sisi tufanye vivyo japo maombi yenu hayakujibiwa mnasubiria ya Ijumaa..
[emoji1] [emoji1]
Good approachKikosi kinachoanza leo ni shida tupu! Yaani mabeki wa kati watatu wanaanza!! Hatari sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewee khaaahSawa sawa mkuu
Hata mimi ni mfua jezi za waydad nipo nafua za ijumaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Za ndani zinasema rivers mazoezi yao huwa wanafanyia kwenye mto
Sasa kama shuti la kwenye maji tu kipa anababuka mikono je uwanjani itakuaje?[emoji16][emoji16]
Leo naona kabisa shaolin soccer 2 inatoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tuliaaa, mbna unaanza kutoa chozii na hata warm up wachezaji hawajafanyaa.Mashabiki wa simba kwa ukiherehere tu, hamjambo.
Kwann lakiniiii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko Nigeria, Yanga itapoteza kwa magoli mawili kisha hapa Dar-es Salaam game itakuja kuisha kwa sare ya 1-1.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwamba huyu hapa leo lazima akunje bigidi
Leo wataokota kadi za njano sana.Naona ni full defensive game!