Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Siyo bure mkuu! Rivers watakuwa wameuza mechi! 🙄Mpira umepita pale pale aliposimama kipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo bure mkuu! Rivers watakuwa wameuza mechi! 🙄Mpira umepita pale pale aliposimama kipa
Acha ubahil fungua pm tumwage mauaKuna nini huko pm? Mbona hapa tumeweza wasiliana? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Haya ni mashindano mawili tofauti ni mbingu na ardhi,, kuwa na heshimaHadi sasa Yanga keshaingia Nusu
Simba tuna mlima mkubwa sana, tukitoka tutadharauriwa na hawa watu hadi tujute
Watakuwa wajinga wataodharau, level ya Wydad na Rivers United ni mbingu na ardhiHadi sasa Yanga keshaingia Nusu
Simba tuna mlima mkubwa sana, tukitoka tutadharauriwa na hawa watu hadi tujute
Ila hili group la Yanga jamani...ni utopoloooo
Hahahaa. Nakazia Mkuu. 😂😂Siyo bure mkuu! Rivers watakuwa wameuza mechi! 🙄
Nikiwa kama shabiki wa Simba kikweli nateseka na haya matokeo ya Yanga [emoji3064]
Hata mimi..nimefurahi binafsi..team zetu zinatutoa kimaso maso...tulinyanyasika sana miaka ileMm ni Simba ila kiukweli Yanga ana asilimia kubwa Sana ya kufika nusu fainali
Ni vile wana midomo tu, mashindano ya Kombe la Shirikisho huwezi kulinganisha na Klabu Bingwa AfrikaHadi sasa Yanga keshaingia Nusu
Simba tuna mlima mkubwa sana, tukitoka tutadharauriwa na hawa watu hadi tujute
Kwanini tudharauliwe? Kwani tupo mashindano waliyopo?Hadi sasa Yanga keshaingia Nusu
Simba tuna mlima mkubwa sana, tukitoka tutadharauriwa na hawa watu hadi tujute
Hizo counter attack mbona hazikufanya kazi mbele ya [emoji881][emoji881]What a counter attack!! This is Yanga bhana!! [emoji123][emoji172][emoji169]