Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Acha watambe tu, ndio wakati wao.Hadi sasa Yanga keshaingia Nusu
Simba tuna mlima mkubwa sana, tukitoka tutadharauriwa na hawa watu hadi tujute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha watambe tu, ndio wakati wao.Hadi sasa Yanga keshaingia Nusu
Simba tuna mlima mkubwa sana, tukitoka tutadharauriwa na hawa watu hadi tujute
Ungua pole mkuu, kuteseka uko ni kwakujitakia mwenyewe tuNikiwa kama shabiki wa Simba kikweli nateseka na haya matokeo ya Yanga 🥺
Walikuwa wanatoa historia eti hata waydad alifungwa hapoWamebakia kuifananisha Rivers na timu za Ligi ya Zanzibar. 😂😂😂
Kiwango kidogo mno mashindano haya
Tunamtaka pyramids sasa
Naona unalinganisha mlima na kichuguuKama ni rahisi na nyie wengine mkafunge mbili kule Morocco. 🤣🤣
Sasa tunaisubiri Ijumaa ijayo kwa hamu kubwa.Kiwango kidogo mno mashindano haya
kikosi chao kwa aina ya wapinzani wanaokutana nao wala hawana shakaWakianza tena makelele imekula kwao
Unadhani ni suala la maombi boss? Ni suala la kujipanga kwa mbinu za kocha na saikoloji ya wachezaji.Tuombe tusonge mbele
Bahasha za GSM zimetembea mkuuHawa Rivers United wametepeta
Mechi ya Ijumaa ni la kombe la Mabingwa Kiongozi..Sasa tunaisubiri Ijumaa ijayo kwa hamu kubwa.