FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Pamoja na yote, I'm proud of TZ soccer kwa sasa, yaani miaka hiyo yanga alikuwa anaenda kukamilisha ratiba tu, leo yanga ni favourite...can't believe.

Soccer ni uwekezaji, sio maneno matupu.

Hongereni simba na yanga kwa hatua hii nzuri, you make us proud!
 
ASIPUUZWE KABISA HUYU ANA HOJA [emoji116]

"Heshima ya timu inajengwa na vikombe vnavyotambulika na CAF/FIFA. ukiingia kutafuta profile ya timu utaona umeweka domestic cups na CAF interclub cups. Hizo pesa wewe kama mshabiki zinakusaidia nini? Au Mo anazigawaga kwa mashabiki pesa zinazovunwa? Shabiki raha yake ni vikombe sio pesa."

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa nyongeza tu kazi ya shabiki ni kushangilia na kuzomea tu mengine hayamuhusu na jukumu la kuiitakia ni kulia
 
Sio counter ile, angalia hata wachezaji wa Yanga wengi walikuwa kwenye eneo lao.

Counter inaanzia eneo la upinzani unafanya mashambulizi ya haraka kabla ya mpinzani hajafika kwenye eneo lake kutengeneza shape ya ulinzi
Hiyo ni offised sasa unatafuta

Punguza wivu
 
Leo yanga tunaweza tukafungwa amini usiamini ila kuchomoka na ushindi leo ni ngumu sanaaaa.

Nina was was na mentality ya wachezaji toka tupigwe na kitu kizito kwenye mechi ya derby.wachezaji morali haiko juu kama pale awali.

Kama uchawi wa bagamoyo tu ulituchapa goli 2 sasa uchawi wa nigeria je??????
We jamaa ni mamluki

yako wapi yako wapii
 
Uwezo kwa upinzani gani?

Hivi hauoni hata aibu?

Wale viwete ni wakuwapigia hesabu kweli?
Mnapotoa comments zenu muwe mnajali na kuthamini haya makundi maalum, imagine kuna kiwete humu anasoma comment yako unafkiri anajiskiaje?

Tuwe waangalifu kwenye maandishi yetu.

Hata hivyo hongera yanga kwa ushindi mnene[emoji123]
 
Jumulisha hela ya quarter na semi final inakua sh ngapi,?
We ndio hujui

Nani kakuambia kila hatua unayopita unachukua hela?

Hela unachukua kwenye hatua uliyoishia, hata ufike nusu utaishia kuchukua pesa dedicated kwa ajili ya hatua hiyo.

Ukifika nusu, utapewa hiyo 1.05B hautapewa ile 600M ya robo, pesa ya Robo itachukuiwa na timu ambayo imeshindwa kuvuka hatua ya nusu.
 
Screenshot_20230423_222223_Chrome~2.jpg
 
Back
Top Bottom