ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hivi wewe ulikaa tumboni miezi 6? mbona pumba nyingi sanaSio counter ile, angalia hata wachezaji wa Yanga wengi walikuwa kwenye eneo lao.
Counter inaanzia eneo la upinzani unafanya mashambulizi ya haraka kabla ya mpinzani hajafika kwenye eneo lake kutengeneza shape ya ulinzi