FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

azam ya msimu huu naifananisha na nyota nyekundu pilsner na sigara wale wakongwe kama mimi watanielewa jamaa walikuwa na game plan nzuri kwa mechi nne tu kwa msimu. nashukuru sisi tuliwapa nje ndani ila ki ukweli azam wameonyesha uwezo mkubwa ila hawakuwa makini kwa nafasi walizo tengeneza
 
Kitu pekee anachoweza manula ni kuachia tobo watu wazamishe nyavuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…